Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

Wazee wameshika Bango wanawaambia Vijana wawe wabunifu halafu wao wapo tu huko wanaenda kushindwa negotiation za ajabu ajabu wamekomaa Vijana wawe wabunifu wasisubiri ajira za Serikali Ajira Portal PSRS Utumishi bali Vijana wajiajiri wakati huo Wazee wanatembelea LC 300 zilizotokana na Pesa za hao hao Vijana
 
Kwani jobu akili zake ziko timamu?ni kijana gani wa kitanzania anayeweza ku negotiate mikataba ya kimataifa kwa elimu gani? hii elimu ya shule za kata ambazo hata miundo mbinu ni mibovu!itakuwa ni kichekesho.vijana ambao hata elimu ya kupambania nchi yao imewashinda.labda mwashambwa na akina sufian
 
Mikataba ni uzoefu , hizo A unazitoa wapi ? yaani kijana atoke chuo tu na A umpeleke kweny mikataba kweli?
Hujaelewa bado Ila Siku 1 utaelewa endelea kuchakata mafaili alimaanisha hawa Vijana wenye A class wasiachwe wanazagaazagaa huku mtaani waingie kuwasaidia Wazee huko Wazee kuna muda akili inakua inachoka Vijana akili ipo active Muda wote na wanakuja na mambo mapya na vitu vipya Wazee wanabakia na vitu vile vile vya zamani eeh sijui unanielewa hawaleti vitu vipya vijana ndio wanaleta vitu vipya vipya hiki weka hivi kile fanya hivi ni Vijana ndio maana kuna umri wa Wazee kustaafu kuanzia miaka 45-60 hapo Mzee inabidi astaafu asije akaji-Joe Burden
 
Mikataba ni uzoefu sio A+ , jaribu kuchukua hao vijana wa A+ uone bila ya kufanya vetting .

Elimu ya bongo ndio ya kusifia A+ ebu jaribu kufirikia vizuri ...Taasisi nyingi zinaajiri watu kwa wakati mmoja ila wao wanajua yupi ni bora hata kwenda nae nje kwenye ishu za kiofisi ....Uwezo wa mtu sio A+ kama mnavyofikiria .
 
Mikataba ni uzoefu sio A+ , jaribu kuchukua hao vijana wa A+ uone bila ya kufanya vetting .
Kwa hio hao wanaoenda kupigwa Ndoige kila kukicha hawakufanyiwa vetting au sio? Wametumbukizwa tu Mzee fulani na Mzee fulani haya twendeni kwenye mkataba? Ulimuona yule Mzee wako somebody Mbarawa yupo Zanzibar kapewa kitengo huko sasa alipigwa maswali akawa km mtoto mdogo hana la kujibu yule pia hakufanyiwa vetting?
 
Aseme rushwa ya CCM wala hakuna cha A
 
Upo sahihi, nchi yetu inateswa na rushwa
 
Wale wanatumika kisiasa wapo wenye uwezo mkubwa tu , maswali yapi kayashindwa Mbarawa?


Huyo Mbarawa amekuja kutokana na siasa , ulisikia wapi wabunge wanajua kila kitu ? Nafikiri unanielewa kuna watu wamekuwa wakurugenzi wa mashirika mda mrefu wameenda sana nje kweny ishu za mikataba , hawa ndio walitakiw kuwa mawaziri sio wabunge ambao hawana experiene wanachaguliwa kwa mlengo wa kisiasa .


Hao waliopata A+ ndio maandazi kabisa , kawachukue pale UDSm uone balaa lake .
 
Upo sahihi, nchi yetu inateswa na rushwa
Mimi ni shahidi kuna taasisi jamaa alikuwa na degree ya kutokea diploma ila ndio anajua vitu vingi kwa vile alianza kufanya kazi na diploma halafu akaenda kuchukua Degree , wengine wana Degree na GPA kubwa hamna kitu .

Taasisi nyingine, mtu wa diploma ndio anaongoza kweny majukumu kwa vile ana uzoefu hao degree hata kujibu meseji na GPA zao kubwa hawawezi .
 
A lakini tumboni Kuna kitu? Hakuna mtu mwenye njaa mwenye akili timamu. Shida inaanzia hapo kwenye njaa hapo . Ndiposa nashauru siku za mbeleni nibora tuchague viongozi matajiri Sana ambao hawana njaa sana
 
Kwamba kwa kuwa kuna mikataba mibovu basi jinai nyingine zisijadiliwe?
 
Sahihi kabisa
 
Wenzetu wanachukua wanafunzi wenye ufaulu mzuri kulingana na ubora wa elimu zao.Lakini sisi hapa Tanganyika hata ukimuchukua wa class A Bado atapuyanga tu kwenye mikataba ya kimataifa Kwa sababu elimu ya hapa ni grade zero.mtanzania kwenye mkataba ataanza kuangalia kamusi ili ajue kilichoandikwa kinamaanisha nini
 
Ndugai bhana!!
Haya ilibidi ayafanye yeye na wenzie akiwa kiongozi wa muhimili unaojitegemea.
Sasa sahivi hata akisema, nani atamuelewa? Hivi kumbe viongozi wa nchi hii akili zao zinarudi wakishakua nje ya madaraka. Lol
Ana ujinga fulani hivi.
Alivyokuwa kunye position alikuwa chama pro max.
Atulize naniu yake.
 
😁😁 kilichofuata alishambuliwa kama mwewe,usipika ukamshinda na adi sasa hasikiki ingawa bado ni mbunge n mshahra anapokea
 
Mimi sina hizo A wala A+ ila ni mwendo wa makarai tu C na D lakini nina akili na exposure kubwa sana yakuweza kunegotiate hiyo mikataba na Taifa likanufaika pakubwa sana.

A na A+ hizi za UDSM sijui Udom nk hazina msaada wowote kama mhusika hana exposure kwenye real business.
Watu wetu wengi ni local experts ambao hawana uzoefu wowote wa international business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…