Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

mbona juzi tulipekeka waandishi VIJANA Dubai ili kutetea DP world washinde - na wakashinda.
 
mbona juzi tulipekeka waandishi VIJANA Dubai ili kutetea DP world washinde - na wakashinda.
Tofautisha propaganda na utaalamu kwenye mikataba tunaongelea wataalam wabobevu wa Sheria na uchumi
 
Tatizo wala siyo uzee wanajizima data yaani wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwa kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, nahicho ndicho kimelifikisha taifa hili hapa tulipo,,(some of entrusted people do suspend their individual reasoning because of group objectives)
 
Siyo vijana wote wengine close-minded, (akili iliyo fungwa), tena wamo humu humu
 
Alikua Bungeni mbona hakutaka mikataba iwe wazi na kusainiwa na hao vijana...
 
"A" zenyewe zinatia shaka hapa TZ, nadhani ulimaanisha "A" za kichwani na si nyinginezo au "A" zipi?
 
Hayo mataifa pia huchagua maspika smart,descent, democratic na liberal sio visirani, vivunja Sheria wanaopigana na mafimbo kama wafuga ng' ombe
 
Ndugai muhongo kuwa na A sio kigezo kwamba hu sio mjinga , inategemea na mazingira wezeshi , wapi Prof Kabudi
 

Hakudhani uspika ulihitaji wasiochoka?

Happy kuna lile tatizo pendwa la manyani yenye kuchekana, kumbe yote yana pox.

Laiti angekumbuka tatizo ni u CCM asingekuwa kathubutu kuwaunganisha na wasiokuwamo.
 
Wizo nakucheck kwenye email yako, nataka nikupe kadi 😹
Kadi gani tena jamani my wangu isiwe tu kadi ya harusiii 😁😁😁

Bora kadi ya chama tena iwe ya Kijani πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Hakudhani uspika ulihitaji wasiochoka?

Happy kuna lile tatizo pendwa la manyani yenye kuchekana, kumbe yote yana pox.

Laiti angekumbuka tatizo ni u CCM asingekuwa kathubutu kuwaunganisha na wasiokuwamo.
Ccm inaundwa na jamii ya watanzania walewale na vyama vingine vyote pia vinategemea rasili mali watu hao hao sasa hayo mageuzi tunayapataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…