Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha propaganda na utaalamu kwenye mikataba tunaongelea wataalam wabobevu wa Sheria na uchumimbona juzi tulipekeka waandishi VIJANA Dubai ili kutetea DP world washinde - na wakashinda.
Kweli , Shida sio A+ or Shida ni uwezo ,wapo wana D ila wanajua kuliko wenye hizo AShida sio A+ shida ni A+ inajua nini.
Watu wapo serious na mambo ya msingi ambayo sisi si sehemu yetu ya kuyajua.
Tatizo wala siyo uzee wanajizima data yaani wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwa kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, nahicho ndicho kimelifikisha taifa hili hapa tulipo,,(some of entrusted people do suspend their individual reasoning because of group objectives)Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika.
Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba tunayoingia kama taifa ni kwa namna gani itanufaisha umma. Akasema kwetu Tanzania hali ni tofauti kabisa kwani sisi huwatumia maprof wetu.
Ni kweli wana elimu nzuri lakini wamechoka kiakili kwa namna ambayo ni rahisi sana kutuingiza chaka. Alisema hii mikataba inaandikwa kijanja sana na ni mabook makubwa makubwa hiyo yanahitaji akili fresh ili kuyasoma kuyaelewa na kufanya maamuzi sahihi.
Mada ya mikataba ya nchi ni nzito sana haikupaswa kabisa kufanyika kizembe.
Siyo vijana wote wengine close-minded, (akili iliyo fungwa), tena wamo humu humuHujaelewa bado Ila Siku 1 utaelewa endelea kuchakata mafaili alimaanisha hawa Vijana wenye A class wasiachwe wanazagaazagaa huku mtaani waingie kuwasaidia Wazee huko Wazee kuna muda akili inakua inachoka Vijana akili ipo active Muda wote na wanakuja na mambo mapya na vitu vipya Wazee wanabakia na vitu vile vile vya zamani eeh sijui unanielewa hawaleti vitu vipya vijana ndio wanaleta vitu vipya vipya hiki weka hivi kile fanya hivi ni Vijana ndio maana kuna umri wa Wazee kustaafu kuanzia miaka 45-60 hapo Mzee inabidi astaafu asije akaji-Joe Burden
Wizo nakucheck kwenye email yako, nataka nikupe kadi 😹MAZEE YALIYOJICHOKEA ndio yanatuwakilisha sisi vijana ngangari (Vibrant) huku yakiwa yanatiririsha udenda na kusubiri POSHO
Yakifika huko yanapigwa KATAFUNUA na kuchumishwa mboga yanarudi yako hoi, mikataba yote imesombwa na MABEBERU.
Samia aniteue nimuoneshe vile nchi inanyooshwa.
Anicheki hapa @bichwakomwe@gmail.com
Cc: Lucas Mwashambwa Poor Brain cocastic Lamomy Confession
A lkn ziwe za halali"A" zenyewe zinatia shaka hapa TZ, nadhani ulimaanisha "A" za kichwani na si nyinginezo au "A" zipi?
Ndugai muhongo kuwa na A sio kigezo kwamba hu sio mjinga , inategemea na mazingira wezeshi , wapi Prof KabudiKatika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika.
Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba tunayoingia kama taifa ni kwa namna gani itanufaisha umma. Akasema kwetu Tanzania hali ni tofauti kabisa kwani sisi huwatumia maprof wetu.
Ni kweli wana elimu nzuri lakini wamechoka kiakili kwa namna ambayo ni rahisi sana kutuingiza chaka. Alisema hii mikataba inaandikwa kijanja sana na ni mabook makubwa makubwa hiyo yanahitaji akili fresh ili kuyasoma kuyaelewa na kufanya maamuzi sahihi.
Mada ya mikataba ya nchi ni nzito sana haikupaswa kabisa kufanyika kizembe.
Tuipe akili heshma yake mambo ya kisomi yanahitaji elimuNdugai muhongo kuwa na A sio kigezo kwamba hu sio mjinga , inategemea na mazingira wezeshi , wapi Prof Kabudi
Ndugai hasikiki kihivo!
Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika.
Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba tunayoingia kama taifa ni kwa namna gani itanufaisha umma. Akasema kwetu Tanzania hali ni tofauti kabisa kwani sisi huwatumia maprof wetu.
Ni kweli wana elimu nzuri lakini wamechoka kiakili kwa namna ambayo ni rahisi sana kutuingiza chaka. Alisema hii mikataba inaandikwa kijanja sana na ni mabook makubwa makubwa hiyo yanahitaji akili fresh ili kuyasoma kuyaelewa na kufanya maamuzi sahihi.
Mada ya mikataba ya nchi ni nzito sana haikupaswa kabisa kufanyika kizembe.
Kadi gani tena jamani my wangu isiwe tu kadi ya harusiii 😁😁😁Wizo nakucheck kwenye email yako, nataka nikupe kadi 😹
Ccm inaundwa na jamii ya watanzania walewale na vyama vingine vyote pia vinategemea rasili mali watu hao hao sasa hayo mageuzi tunayapatajeHakudhani uspika ulihitaji wasiochoka?
Happy kuna lile tatizo pendwa la manyani yenye kuchekana, kumbe yote yana pox.
Laiti angekumbuka tatizo ni u CCM asingekuwa kathubutu kuwaunganisha na wasiokuwamo.
Y’a harusi naolewa wizo nimepata mteja wa jumla 🤣🤣🤣Kadi gani tena jamani my wangu isiwe tu kadi ya harusiii 😁😁😁
Bora kadi ya chama tena iwe ya Kijani 😋😋😋
Yapoje kuchukua watu waliochoka!?