Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wbunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu

Spika amesemakwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza je ni sahihi kuendelea kununua ndege nyingine?

Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri

Ndugai Mnafiki sana. Eti ATCL imepata HASARA
 
Tusio wanafiki, kila mara tulisema kuwa marehemu alifanya machache mazuri lakini aliharibu maeneo mengi.

Na hakika Mh. Samia atakuwa na kazi ngumu sana kurekebisha maeneo yote yaliyoharibiwa na mtangulizi wake.

Kuna baadhi ya watu, ambao wengi wao ni watu wenye uelewa na upeo mdogo sana katika masuala mengi, kazinyao kubwa ilikuwa ni kushangilia kila aina ya uchafu.

Rais aweke kamati za kuchunguza maeneo yote, kwa kuanzia maeneo yale tunayoweza kiyaita ni pillars za uchumi. Wachunguzwe waliopewa majukumu ya kuyasimamia kama wana uwezo na dhamira. Vinhinevyo waondolewe haraka, nchi ianze kupiga hatua za kweli za kujenga uchumi wenye mizizi.
 
About Us About Us

Air Tanzania Company Limited (ATCL) is the national airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its hub at Julius Nyerere International Airport. The Company was established in 1977 following the dissolution of East African Airways and has been a member of the African Airlines Association (AFRAA) since its inception.
Following its establishment, ATCL has gone through a number of changes in its structure and ownership as a result of the Government's efforts to ensure that the country owns a strong national airline. The changes include partial privatization of ATCL in 2002 when the Government reduced its shareholding to 51 percent and entered into a partnership with South African Airways (SAA). The partnership ended in 2006 when the Government repurchased SAA shares to recapture its 100% ownership of ATCL.
As the Government regained full ownership of ATCL, it invested heavily in the ATCL operations' systems to enable ATCL operate efficiently again. The Government efforts to rebuild ATCL, through various options, continued until 2016 when it decided to develop a specific program for revamping the ATCL. The ATCL revamping program included purchasing of six new aircraft between 2016 and 2018, payment of debts and provision of Startup capital, improvement and modernization of business systems.
ATCL now has a total of eight aircrafts in its fleet; Four Dash 8-Q400, two Airbus A220-300 and two Boeing 787-8 Dreamliner. There are plans to integrate the Dash 8-Q300 that is in maintenance into the current fleet taking the total to 9 aircrafts by June 2020. An additional Dash 8-Q400 is expected to be delivered in June 2020 and two more Airbus A220-300 are expected to be delivered by July 2021 taking the total number of aircrafts to twelve.
With improved fleet, ATCL is confident to regain its position as a serious competitor in the air transport market. The ongoing ATCL fleet and network expansion program include more destinations in Africa and Asia and new destination in Europe and US.

Mission and Vision​

Vision

To be the airline of choice that exceeds customers’ expectations.

Mission

To our passengers:
To provide reliable, safe and sustainable high quality airline services globally.
To our employees:
To provide a working environment for our employees to excel through constant training & development and supported by an effective reward and recognition program.
Board Members
1524478982-EnginnerEmmanuelKorosso2.jpg

Board Chairperson​

Engineer Emmanuel Korosso is a Construction Engineer by profession with vast a experience in public project management, several courses in Contract Management, Procurement and Road construction & Maintenance Management.
Dr-Omari-KMbura2.jpg

Board Member​

Dr. Omary Mbura is a successful business and entrepreneurship academician with an excellent record in Managing businesses and entrepreneurial projects. Dr. Omary Mbura provides consultancy services to various institutions from Telecommunication Companies, Academic Institutions, MFIs, International Projects and he’s part of Air Tanzania success story.
Dr-Neema-Mori2.jpg

blank.gif
Board Member​

Prof. Neema Mori, is a Researcher and Academician on International Business majoring on Corporate governance and Boards of Micro finance Institutions. She is a member of University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly (UDASA), Centre for Research on Social Enterprises and Microfinance (CERSEM), European Microfinance Research Network (EMRN). She has over ten years of experience in consulting in areas of corporate finance, small business finance, corporate governance, microfinance and entrepreneurship.
Leornard-Chimagu2.jpg

Board Member​

Mr. Leonard Chimagu is an expertise in Industrial and Engineering expert. Well experienced in project identification, selection and management, environmental impact assessment, traffic safety and quality control.
Currently, Mr. Leonard Chimagu is a Tanroads Regional Manager – Dodoma.
Simon_Nkanyemka.jpg
Board Member
Mr. Simon Said Nkanyemka, is a master’s degree holder in commercial and corporate laws and a graduate of Bachelor of Laws (LL.B). He is a registered Advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts thereto save for primary courts. He has vast experience in various legal matters including legislative drafting, litigation, contracts and negotiation skills.
Currently, Mr. Simon is a Director of Legal Services at Ministry of Water.
Ibrahim-Mussa2.jpg

Board Member​

Ibrahim Ally Mussa, is a master’s degree holder in International Tourism Management graduated at Sheffield Hallam University in the United Kingdom. Mr Mussa is well experienced in the Tourism sector.
Mr. Mussa has worked in various positions and capacities in Tanzania.
Ladislaus-Matindi2.jpg

Company MD & CEO​

Eng. Ladislaus Matindi, is a master’s degree holder in Telecommunication Engineering and MBA degree in International Business. Currently, he works with Air Tanzania Company Limited (ATCL) as Managing Director and CEO of Air Tanzania Company Limited (ATCL). Prior to joining the ATCL, he was the CEO of the EGNOS Africa Joint Programme Office (JPO), a regional structure created to coordinate the deployment of the European Union GNSS/EGNOS services in Africa with its headquarters in Dakar, Senegal. He also served various aviation industry related to Management and Functional positions at the East African Community (EAC) Secretariat and in Tanzania Civil Aviation Authority. He is a well-known in aviation professional through his participation in EAC, SADC, COMESA, AFCAC, AU, USA, EU, and ICAO aviation related programmes.
John_Nzunda.jpg
Company Secretary
John Nzunda is the Head of Legal and Company Secretary of the Air Tanzania Company Limited. He is a graduate from university of Dar es Salaam with a Bachelor and master Degree of law major in International Business, Finance and Investment Laws. He has worked for about thirteen years as a legal practitioner in the public sector and has vast experience in Labour laws, contract negotiation and management, Litigation, Board secretarial services, dispute resolution, industrial relations
 
Ndugai naona mitazamo yake ya kiuchumi ni kama ya Samia Suluhu. Yule jamaa aliyekuwa anaua sekta binafsi alikuwa anaturudisha miaka 40 nyuma na wala hashauriki
Watu mnalumu tu kwa nini hawakuongea Magufuli akiwa madarakani, pengine mlikuwa hamumjui Magufuli. Pengine waliona anaharibu sana na haambiliki wakaamua wamtangulize tu kama baadhi ya watu wanavyosedai
Kama alikuwa anajua haambiliki why aseme atake asitake watamuongezea muda, achana na wanasiasa ndugu yangu wewe fikiria watoto wako watakula nini
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wbunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu

Spika amesemakwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza je ni sahihi kuendelea kununua ndege nyingine?

Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri

Ndugai angetamka neno "hasara ATCL" asingekuwa spika leo hii na lile soko la Dodoma lingebadilishwa jina kuwa soko la Malecela.
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wbunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu

Spika amesemakwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza je ni sahihi kuendelea kununua ndege nyingine?

Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri

Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wbunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu

Spika amesemakwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza je ni sahihi kuendelea kununua ndege nyingine?

Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri

Ndiyo madhara ya kuwa na bunge kibogoyo tulisema sena tukaambiwa tumetumwa na mabeberu
 
Hivi CAG amekagua na ofisi ya huyu mnafiki ?Huyu nae amechangia kuliingiza hasara taifa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa masilahi ya chama chake tena ikiwa ni kinyume cha katiba ya nchi yetu.Huyu aliewakumbatia na kuwakingia kifua wabunge wasio kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa katika bunge lilopita;huku akiwalipa mamilioni ya shilingi kwa posho,mishahara na pensheni leo bila aibu anajifanya kusahau yeye pia ni sehemu ya tatizo iliyotufisha hapo.Asitegemee kwa matamko hayo atarudisha utu na heshima alivyoviweka rehani kwa upofu wa madaraka pengine labda atangaze kujiuzu Kama kweli hakubaliani na yaliyotendeka kipindi cha JPM. Ndugai ni spika wa ovyo kutokea toka tupate uhuru.
 
Haya yalisemwa sana na upinzani hasa chadema, Leo watu wanakurupuka, mwenye clip ya Heche kuhusu ATCL atawekee pls.
 
Back
Top Bottom