Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Ndugai ni moja na viongozi ambao wanapaswa kutumia busara tu kupisha kwenye kiti alichokikalia.. Huyu mtu ni mmoja na watu waliotufikisha hapa, Huyu aliunga mkono sana haya mambo kufanyika, Ndugai huoni aibu??
 
mitano tena kwao na muda waongezewe wakikataa walazimishwe,nchi hii Mungu ameamua kuiinua kwa kifo cha Jiwe
 
Kampuni ya usafirishaji binafsi inaweza kutumia mabehewa kwa shughuli zake binafsi mbadala wa malori.Rejea kitu anachokifanya bakhresa na shirika la reli!
That makes perfect sense if it’s true, not sure kama kuna reli line inayoingia mpaka kwenye mashamba ya bakhresa to date, sasa sijui hayo mabehewa huwa anayapaki wapi. Muhimu TRC don’t incur costs za hayo mabehewa.

Either way hivyo unavyoongea wewe sivyo alivyokusadia speaker yeye anataka watu hata wasio na shughuli nayo wayanunue sasa sijui wayafanyie nini kama sio wakodishe TRC.

Mtu anaweza uliza tatizo liko wapi hapo kama ni coaches hizo rental costs kama zipo juu ina maana nauli zitaongezeka na wanufaikaji wa reli ni watu chini kwa sasa. Yaani hawa watu ni very selfish hawajali kabisa maslahi ya watu wenye kipato kidogo.
 
Amri ya nane usiseme uongo, interview ya kuongoza malaika inaelekea ilikua ngumu kidogo.
Cha kushangaza waliokuwa ofisini wakitetea huo utumbo mpaka sasa bado wapo na wataendelea kuwepo a lot of years to come na hawatafanyiwa lolote. Nchi yetu kuanzia mwananchi(siku hizi wanaitwa wanyonge) hadi Rais wote wanalalamika na kila mmoja anaonekana yupo in a confused state na hakuna reliable solution asilani. Mama Tanzania yupo hoi
 
Ndugai naona mitazamo yake ya kiuchumi ni kama ya Samia Suluhu. Yule jamaa aliyekuwa anaua sekta binafsi alikuwa anaturudisha miaka 40 nyuma na wala hashauriki. Mashirika binafsi ya ndege alifanya juhudi yafe wakati ATCL ni hasara, PPP ilikuwa imeshakufa

Watu mnalumu tu kwa nini hawakuongea Magufuli akiwa madarakani, pengine mlikuwa hamumjui Magufuli. Pengine waliona anaharibu sana na haambiliki wakaamua wamtangulize tu kama baadhi ya watu wanavyodai
Walikuwa wanaogopa watu wasiojulikanaa
 
Cha kushangaza waliokuwa ofisini wakitetea huo utumbo mpaka sasa bado wapo na wataendelea kuwepo a lot of years to come na hawatafanyiwa lolote. Nchi yetu kuanzia mwananchi(siku hizi wanaitwa wanyonge) hadi Rais wote wanalalamika na kila mmoja anaonekana yupo in a confused state na hakuna reliable solution asilani. Mama Tanzania yupo hoi
Kwa kawaida ya Watanzania, wiki ijayo watakua wamesahau yote na maisha yanaendelea.
 
That makes perfect sense if it’s true, not sure kama kuna reli line inayoingia mpaka kwenye mashamba ya bakhresa to date, sasa sijui hayo mabehewa huwa anayapaki wapi. Muhimu TRC don’t incur costs za hayo mabehewa
Mabehewa yanaPack station kama mabehewa mengine
 
Ndugai naona mitazamo yake ya kiuchumi ni kama ya Samia Suluhu. Yule jamaa aliyekuwa anaua sekta binafsi alikuwa anaturudisha miaka 40 nyuma na wala hashauriki. Mashirika binafsi ya ndege alifanya juhudi yafe wakati ATCL ni hasara, PPP ilikuwa imeshakufa

Watu mnalumu tu kwa nini hawakuongea Magufuli akiwa madarakani, pengine mlikuwa hamumjui Magufuli. Pengine waliona anaharibu sana na haambiliki wakaamua wamtangulize tu kama baadhi ya watu wanavyodai
Unasema wangeongea wakati jiwe akiwa Ikulu!unatania jamaa,upo bongo kweli,
Yaliyomkuta Tundu lisu huyajuhi?yaliyomkuta Nape huyajuhi?
Je Yule mkuu wa Idara BOT,aliyekutwa "kajinyonga"?acha utani watu walikuwa wanaogopa kuuliwa
 
Hawa wenzetu inaonekana pia wanachelewa sana kufikiri...haya wenzao tulifikiri zamani sana...ZZK amewasaidia sana pia kuyasema bungeni pale...
 
Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri
Kwa kasi hii tunarudi kulekule tulikotoka.

Tulishuhudia Reli yetu wakipewa wahindi, wakajichotea mapesa ya serikali pasipo kuliboresha shirika. Wanatamani bwawa la umeme la Rufiji likikamilika wajibinafsishie kisha watuuzie umeme kama IPTL walivyokuwa wanatuuzia.

Ndugai muogopeni Mungu; maisha hapa duniani ni mafupi sana, na mali mnazoiba hamtakwenda nazo huko akhera.
 
Unasema wangeongea wakati jiwe akiwa Ikulu!unatania jamaa,upo bongo kweli,
Yaliyomkuta Tundu lisu huyajuhi?yaliyomkuta Nape huyajuhi?
Je Yule mkuu wa Idara BOT,aliyekutwa "kajinyonga"?acha utani watu walikuwa wanaogopa kuuliwa
Mimi nilishasema '',Baada ya kifo cha Jiwe,akili za watu wengi zitarudi kufikiri kama kawaida'',Sasa hapa tunayemsikia ndiye Ndungai halisi.Yule mwingine alikuwa ameshikiwa akili na Jiwe!
 
Unasema wangeongea wakati jiwe akiwa Ikulu!unatania jamaa,upo bongo kweli,
Yaliyomkuta Tundu lisu huyajuhi?yaliyomkuta Nape huyajuhi?
Je Yule mkuu wa Idara BOT,aliyekutwa "kajinyonga"?acha utani watu walikuwa wanaogopa kuuliwa
hujanisoma vizuri mi ndio nilikuwa nasema wasilaumu sana watu wanaoongea tofauti na misimamo ya Magufuli sasa hivi wakti kipindi chake walikuwa kimya maana political career zao zingeweza kuishia hapo hapo or worse
 
Mabehewa yanaPack station kama mabehewa mengine
Whose space, vipi TRC wakiwa na mizigo yao and what about maintance?

Anyway sioni tatizo la mtu kuwa na mabehewa yake especially kwa mfanyabiashara mkubwa kama Bakhresa it’s makes sense, how the whole thing works remains to be told.
 
Wakati ule wabunge wa upinzani wanatoa Maoni kuhusu hili shirika mliwaita mawakala wa mabeberu, sio wazalendo, wanatumika na meneno mengine kibao hadi wengine kupewa adhabu za ovyo ovyo.

Leo mmeingiza nchi hasara mnasema wabunge wachangie kwa uwazi, wabunge wenyewe wako wapi wa kuchangia kwa uwazi.?

Hawa akina Babu Taletale? Waliopekwa bungeni kama watoto wanapelekwa chekechea..

CCM na Mwendazake mmeifirisi sana nchi hii na bado mnaendelea kuifirisi na kutuona Watanzania kama mazwazwa.

Tunaposema kuwa nchi hii ilikuwa mikononi mwa ibilisi kuna watu wanadhani tuna chuki naye ya kisiasa. Halafu mtu wa namna ile akapata nguvu ya kufanya lolote huku akionekana Mungu mtu, hakukuwa na nguvu yoyote ya kuhoji, na yoyote aliyehoji alidhalilishwa, kuuwawa, kutekwa na ikaonekana ni sawa mtu kufanyiwa udhalimu.

Uchaguzi akaagiza unajisiwe kwa mantiki kuwa wananchi wameridhika na utendaji wa serekali yake. Leo hii bungeni kumejaa watu wasio na uhalali wa umma, watahoji nini? Kama yule jamaa hakuwa na nguvu za giza ni nini?
 
Back
Top Bottom