Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Nyie mtakuwa wanufaika wa wizi uliokuwa ukifanywa na JIWE!1. Natamani taarifa ile ungeichambua ukaweka hayo madudu moja baada ya lingine tukayajadili hapa.
2. Masuala mengine ni wahusika kuwa wazembe kushindwa kurejesha majibu kwa wakati kwa CAG (kujibu hoja)
3. Nina imani kubwa Bunge litakapojadili mengi yatatolewa ufafanuzi na yataondoka!
4. Tunamshukuru sana CAG ametekeleza maagizo ya mzee marehemu Hayati JPM na Rais wa sasa Mhe. Samia Sukuhu Hassan kama alivyomwambia ukaandike report ya kina ili tuisaidie serikali na kukomesha ufisadi na wizi. Hivyo CAG amefanya kazi yake kwa weledi kama mwalimu wetu Prof. Assad
Tuwe na akiba ya maneno ndg zangu. Tusubiri Bunge lipitie taarifa hiyo kwa kina tujue mbivu na mbichi.
Namshauri Rais wetu mama yetu Mhe. Samia. Kama kuna mtendaji yoyote yupo madarakani na itathibitika kuiletea Serikali hasara na pia uzembe wa kutokujibu hoja za CAG, basi amtoe haraka sana kabla hajamuharibia kazi
Haya mambo leo Ndugai anaongea akina Mbowe waliongea sn wakaambiwa ni vibaraka wa mabeberu, Ndugai ni mtu hatari sn na wa hovyo, mbona kipindi cha marehemu alikuwa mtu wa kusifia tu na madudu yote anayajua?Ndugai naona mitazamo yake ya kiuchumi ni kama ya Samia Suluhu. Yule jamaa aliyekuwa anaua sekta binafsi alikuwa anaturudisha miaka 40 nyuma na wala hashauriki. Mashirika binafsi ya ndege alifanya juhudi yafe wakati ATCL ni hasara, PPP ilikuwa imeshakufa.
Watu mnalumu tu kwa nini hawakuongea Magufuli akiwa madarakani, pengine mlikuwa hamumjui Magufuli. Pengine waliona anaharibu sana na haambiliki wakaamua wamtangulize tu kama baadhi ya watu wanavyodai.
Wote wanamkana na wakati wapinzani walisema snJiwe hakika nguvu aliitoa kuzimu.
Imagine hawa watu sasa wanamkimbia baada ya kifo chake
Ndugai alishiriki kwa 100% kuzima wapinzani, Ndugai ni mtu hatari sn.Kama spika amekiri hivyo,Basi wapinzani wana mengi ya kutwambia.
Ndiyo maana JIWE aliwazima midomo kwa gharama yoyote!
Da!
Hawa wanaccm walikuwa wakimwabudu Jiwe hadharaniWote wanamkana na wakati wapinzani walisema sn
Sukuma Gang haoMzee Mwanakijiji na Pascal Mayalla wanazungumziaje ripoti ya CAG na mwendazake?
wajinga wakubwa haoHawa wanaccm walikuwa wakimwabudu Jiwe hadharani
Bado wanasaka NDIMI mpya za KUTAFUTA kukubalika na kuendana na 'nyakati' kama Mzee wa fito.Mzee Mwanakijiji na Pascal Mayalla wanazungumziaje ripoti ya CAG na mwendazake?
Hapana,Anastahili kuendelea kuwa speaker?
Hapana,Anastahili kuendelea kuwa speaker?