Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwa hali hii hata mimi ningejisalimisha au kukimbia ukimbizini kama Lisu na Lema.Yatima hadeki ingawa kuna watu walitoa jasho kwenda ikulu kujisalimisha na leo wamesahau na kukejeli
Tusifanye mchezo na hao wahuni. Kwao maslahi yao binafsi ndio kipaumbele wala hawajali kama taifa linapata hasara kiasi gani kwa vitendo vyao. Walisema hawakupenda makao makuu yahamie dodoma na sasa tunaona wanapiga munda kuhamia dodoma. Waliamua ujenzi wa bandari bagamoyo licha ya masharti hasi na kutisha kwa nchi. Sasa wanataka bandari bagamoyo ili tu binafsi na vizazi vyao vifaidike.
Tukatae kwa pamoja na kwa nguvu wahuni.
Sasa si atumie hiyo sheria iliyotungwa na bunge
Kuna watu ni kenge sana mkuu! Yani kila kitu tuliwekewa Wazi lakini bado wanakomaa na bandari sijui nani katuloga aise!!! Wanachoshidwa kuelewa shida siku kwasababu mama samia ndo raisi Hapana, asimamie mambo ya msingi sasa imefika sehemu ukitoa mawazo unaitwa sukuma gang
Ni kweli kila kitu mliweka wazi? Profesa Assad mlimfukuza ili kuficha nini?Kuna watu ni kenge sana mkuu! Yani kila kitu tuliwekewa Wazi lakini bado wanakomaa na bandari sijui nani katuloga aise!!! Wanachoshidwa kuelewa shida siku kwasababu mama samia ndo raisi Hapana, asimamie mambo ya msingi sasa imefika sehemu ukitoa mawazo unaitwa sukuma gang
Dar ni jiji la hovyo kabsa halifai kwa shughuli yoyote ya maana na ndio maana wakazi wake waliowengi akili yao sio sawa. Haiwezekani unafika nyumbani saa 5 za usiku sababu ya foleni then kesho eti utaamka na akili timamu na uwahi kazini.Huwa nasema na ntarudia over and over mpaka nione decisions zetu zina reflect "Intelligence"...hatuwezi kuwa na taifa kila kitu ni Dar es Salaam., Hauwezi kuwa na taifa la aina hiyo kamwe na ukasema una viongozi wenye maono ya miaka 50 au 30 mbele. Ni kuhujumiana tu waafrika kwa waafrika kama tuna laana flani hivi.
Sasa hapo ndo unaonesha ujinga wako mtwara si wameiangusha na kuinyonya team msoga! Na haya mambo ya kurudi Dodoma ulitaka yafanyike maoni? Bila ujasiri wa kufanya mambo tunabaki pale pale! Yaani unaposema ni uamuzi wa kipuuzi na kipumbavu unamaanisha hata Nyerere na ni mpumbavu? Pumbavu sana ulaaniwe na kizazi chalo!Yote kwa yote, ukweli halisi ni huu.
1. Huenda zaidi ya 90% ya watumishi wa umma hawakuwa tayari kuhamishwa kutoka Dar kwenda Dodoma.
2. Uamuzi wa kuhamishia shughuli za kiserikali kutoka Dar kuja Dodoma haukuwa na maslahi yoyote kwa taifa. Ulikuwa ni uamuzi wa kipuuzi na kipumbavu kwa 100%
3. Dodoma haiwezi kuwa mbadala wa Dar katika hali yoyote ile. Ni sawa na kujaribu kulazimisha usiku uwe mchana na mchana uwe usiku.
4. Mtawala wa sasa (Samia) ameonyesha nia ya dhati kabisa kuachana na mpango wa yeye na serikali yake kukaa Dodoma. Huenda hapapendi na hapataki Dodoma.
5. Kiuchumi Dodoma inaenda kugeuka na kuwa sawa sawa na kile kilichoipata Mtwara wakati wa kuchimbwa gesi. Watu na wafanyabiashara wengi waliaminishwa makubwa kutokea Mtwara wakati gesi inachimbwa kinguvu, wakakimbilia kuwekeza, kilichowakuta ni majuto matupu.
Kwendraaaaaah!Tayari miundo mbinu imeshawekwa dom kuwa mji wa kiserikali!!! Sasa kuijenga dom na now kurudi dom nikuchezea pesa za wananchi walipa kodi.... nchi kama China huwezi fanya huu upuuzi mzee wangu! Na ndo sababu wameinuka fasta kiuchumi” maana pesa yao haichezewi hata na viongozi wao!!! Huku raisi anaamua tu leo dar Kesho dom Hakuna nchi itakuwa Na maendeleo kwa ivi mzee... lazima tubane matumizi na miradi yenye Tija iishe.
Huwezi ukaacha miradi njiani umeshawekeza hela kibao alafu unaanzisha mingine huku nikufeli kw serikali mkuu tumalize miradi oliyopo, tuone faida yake maisha yawe nafuu alafu ndo tunaanza miradi mipya! Izi pesa wanachezea ni kodi zetu mzee ni vile hujui nalipa kodi kwa kiasi gani haujui maumivu yake ndo sababu unashadadia upumbavu, ifike mahali serikali iyonee huruma raia wake watekeleze wanacho kianzisha sio kila raisi anakuja na lake si ela zote zinapotelea hewani
Kama kuchezea kodi,basi yule kubwa la maadui aliongoza
Huyu ni kiroboto wa mwendazakeHapa mama atafute namna ya kumtoa hata ikibidi kupoteza kichwa hiki,huwa ana kauli za kumpinga Sana Samia.
Ndugai unayemuona yupo sahihi si anaunga mkono ujenzi wa bandari ya Bagamoyo?..Tusifanye mchezo na hao wahuni. Kwao maslahi yao binafsi ndio kipaumbele wala hawajali kama taifa linapata hasara kiasi gani kwa vitendo vyao. Walisema hawakupenda makao makuu yahamie dodoma na sasa tunaona wanapiga munda kuhamia dodoma. Waliamua ujenzi wa bandari bagamoyo licha ya masharti hasi na kutisha kwa nchi. Sasa wanataka bandari bagamoyo ili tu binafsi na vizazi vyao vifaidike.
Tukatae kwa pamoja na kwa nguvu wahuni.
Hoja ya Dodoma kuwa mji mkuu imepitwa na wakati ivyo sio lazima mji mkuu uwe Dodoma"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Watajitoa wenyewe,pili wanajua awatorudi tena 2025 wa kuwarudisha hayupoHapa mama atafute namna ya kumtoa hata ikibidi kupoteza kichwa hiki,huwa ana kauli za kumpinga Sana Samia.
Wewe Mchaga pumbavu zako! Mmejaa ukabila na chuki! Hapo watu wako wa kimara si walitapeliana tena kwa sehemu kuwa wachaga kwa wachaga! Halafu mje hapa mmulaumu Magufuli? Kama mna haki mama Yenu yupo madarakani nendeni mahakamani!Kwendraaaaaah!
Meko alivokuwa anabomoa nyumba za wananchi makusudi huku akiamrisha nyumba za sukuma gang zisibomolewe alikuwa anabana matumiz yapi? Kujenga liuwanja la kimataifa porin chato na kuhamishia wanyama pori huko chato alikuwa anabana matumizi yepi? Kutembea na maburungutu ya mihela barabaran akiigawa hovyo, kuvamia mabenki ya wananchi na kuyapora alikuwa anabana matumiz yepi? Kutumia pesa za wananchi maskini kununulia waNasiasa wa upinzani na kuwabandika vyeo huku akiwapuuza wana ccm wenzake waliomuweka madarakani alikuwa anabana matumuzi yepi...list ni ndefu..
Kwa taarifa yako hatukai kwa wagogo tulikopelekwa kwa kuburuzwa na kikundi cha waru wachache,, tunarudi zetu town
Hata kama aliunga mkono sawa! Kwa nini uje hapa kupinga hoja zake na matusi na kejeri huku nyingi hao hao mkitaka uhuru na demokrasia ya kutoa mawazo!Ndugai unayemuona yupo sahihi si anaunga mkono ujenzi wa bandari ya Bagamoyo?..
Kwendraaaaaah!
Meko alivokuwa anabomoa nyumba za wananchi makusudi huku akiamrisha nyumba za sukuma gang zisibomolewe alikuwa anabana matumiz yapi? Kujenga liuwanja la kimataifa porin chato na kuhamishia wanyama pori huko chato alikuwa anabana matumizi yepi? Kutembea na maburungutu ya mihela barabaran akiigawa hovyo, kuvamia mabenki ya wananchi na kuyapora alikuwa anabana matumiz yepi? Kutumia pesa za wananchi maskini kununulia waNasiasa wa upinzani na kuwabandika vyeo huku akiwapuuza wana ccm wenzake waliomuweka madarakani alikuwa anabana matumuzi yepi...list ni ndefu..
Kwa taarifa yako hatukai kwa wagogo tulikopelekwa kwa kuburuzwa na kikundi cha waru wachache,, tunarudi zetu town