Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

Achana na huyo ujinga wao wamejaza chuki zao za kichaga wanazodanganyana kila siku! Mpuuzi sana huyo!
 
Hata kama aliunga mkono sawa! Kwa nini uje hapa kupinga hoja zake na matusi na kejeri huku nyingi hao hao mkitaka uhuru na demokrasia ya kutoa mawazo!
Spika kuupigia debe huo mradi wa Bagamoyo nyie S.gang mnaonaje?..Yupo sahihi kama hili ya kutaka Dodoma iwe full capital city?
 
Kwa akili za Nduga embe ,warsha na seminar na makongamano yakifanyika yote Dom ndio inakuwa Mji mkuu?

Una akili kweli wewe Ndugai? Kwamba kwenye miji yote mikuu Duniani ila warsha na makongamano yanafanyika kwenye capital cities?
Labda bwana supika ana miradi yake ya catering na malazi na conferences sasa imedoda. Manake walipuyanga kununua viwanja na kuzijenga kwa pupa kama kule kwetu chatyo.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?[emoji1][emoji1]

Nina kiwanja nauza Chato laki mbili tu mwenye anakitaka anirushie tigo pesa nimkabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa.[emoji1][emoji1]
Hivi vile viwanja walikua wanatangazaga ardhi mara NHC na wizara vya makazi, biashara na viwanda mbona waliacha ghafla

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
magufuli alikuwa haendekezi huo upuuzi wa Makongamano na warsha usiokuwa na tija. Watu wanatafuta kula hela ya serikali tu.
 
Wewe Mchaga pumbavu zako! Mmejaa ukabila na chuki! Hapo watu wako wa kimara si walitapeliana tena kwa sehemu kuwa wachaga kwa wachaga! Halafu mje hapa mmulaumu Magufuli? Kama mna haki mama Yenu yupo madarakani nendeni mahakamani!
Ahahaaaa! na bado..sasa hivi ndo mnaujua ubaya wa ukabilaee?!!!
Wakati ule wasio wasukuma wakiokotwa kwenye viroba, kupigwa marisasi, kutekwa nk mliona poa!!!!.. ndo mjue sasa ubaya haulip na hii dunia si yenyu ni ya Mungu kanyageni taratibu!! Wakabila wakubwa nyie
 
Kwa hiyo sis tulijenga kwenye hifadhi vip zile za kwenye kwenye uwanja wa ndege siyo hifadhini?!!
 
Ndugai ahojiwe mara moja aidha na Kamati ya Haki ya Bunge au au CCM yenyewe. Huyu mtu mchonganishi, anaichonganisha Serikali kwa wananchi.
 
Wasukuma hawajawahi kubebwa kama nyingi we bwege! Nitolee upumbavu wako hapa!
 
Spika kuupigia debe huo mradi wa Bagamoyo nyie S.gang mnaonaje?..Yupo sahihi kama hili ya kutaka Dodoma iwe full capital city?
Ahahaaa, huyu mzee kaa popo...haeleweki...roho mbayaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…