Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Ha ha ha haaaaaaaaa...Japo huwa wanasema wanasiasa ni wanafiki ila hawa wa Tanzania wamezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haaaaaaaaa...Japo huwa wanasema wanasiasa ni wanafiki ila hawa wa Tanzania wamezidi
Mwende kwanza Halmashauri Kuu mkatafute kupata mitazamo yenu upya, baada ya kuachwa na Marehemu.Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani. Wazee akina Ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizazi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuliopo hatutakuwepo duniani tutalaaniwa na vizazi vijavyo
Uwekeni wazi wanamchi tuseme kama una manufaa au la.Lakini kuongelea vitu tu gizani si sahihi sasa tutasemaje Magufuli alishauriwa vibaya na nani? Na Ndugai kashauriwa vizuri na nani? Mkataba wabunge wameuona?
Hiyo mikataba ya miaka mingi kupindukia hiyo iwekwe wazi
kwani mwendazake mikataba alikuwa anaweka wazi ? vipi kuhusu na mikataba ya ununuzi wa ndege je iliwekwa wazi na kupitishwa na bunge?Mkuu niunge mkono hoja
Mama awe makini saana na watu wa namna hii
Alienda kivipi huko makao makuu?
Usikute kila mtuu sasa hivi anatafuta namna ya kupiga.
Waweke mkataba ili sote tuone.
Hapa utagundua hapo hakuna mwenye nia njema na nchi hii.
Naanza kumuelewa Magufuli kwamba alijitoa maisha yake. Kweli alizungukwa saana tushukuru hata haka ka muda alikotumikia.
Sikuamini kama nchi inawatu wa namna hii.
Wahamiaji haramu akina Silinde, Mollel..........nao wanasemaje?Aisee
Aiseeh!!
Kumbe alikuwa anajuwa hayo toka mwakajuzi ila aliogopa kumkosoa mwendazake!!!🤔🥺
Aiseee.... Nchi hii mi nahama Buree...Ndugai kishamgeuka mtu wake
Kwa hiyo kwa madudu haya yanayoanikwa, wewe uko wapi? Mama au Marehemu? Hujui kajinywe uji kwanza.We nae unaona umeongea ya maana!??... Tatizo ni mtu mweusi na ubinafsi wake na kuendekeza njaa.. haya mambo ya CCM,CUF na CDM mnashikana uchawi bure tu. Wale wabunge 19 wa CHADEMA walioingia bungeni walichaguliwa na nani!?.. Si ndio lilikuwa jeshi la wamama mnaloliamini CHADEMA!?... Kubali kataa mtu mweusi ni selfish sana, wote sio Mbowe, Lissu, Mnyika wala CCM. Hapa mnatafutana uchawi tu.
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena.
Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99.
Pia soma: Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena.
Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99.
Pia soma: Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha
Hawa wakubwa kwa jinsi wanavyoukumbuka mradi huu, sina shaka wana chao mfukoni tayari!Aliye M misled Magufuli ni nani!??
Mimi hapa mkuuAliye M misled Magufuli ni nani!??
Aisee Nchi hii ni Ya Ovyo Mnoo..Mimi hapa mkuu
Wnawake walikunja ngumi ... peoplessssss! Wao wanaitikia Power! kumbe pwaaaa!We nae unaona umeongea ya maana!??... Tatizo ni mtu mweusi na ubinafsi wake na kuendekeza njaa.. haya mambo ya CCM,CUF na CDM mnashikana uchawi bure tu. Wale wabunge 19 wa CHADEMA walioingia bungeni walichaguliwa na nani!?.. Si ndio lilikuwa jeshi la wamama mnaloliamini CHADEMA!?... Kubali kataa mtu mweusi ni selfish sana, wote sio Mbowe, Lissu, Mnyika wala CCM. Hapa mnatafutana uchawi tu.
Mkuu, Mimi ninamashaka Sana Mh Sipika, kuna kaugali kake humo,Hawa wakubwa kwa jinsi wanavyoukumbuka mradi huu, sina shaka wana chao mfukoni tayari!
Hapa Ndingai anaishangaa serikali kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Anasema alikwenda China katika mji wa Chenzen ambako ndiko yaliko makao makuu ya wajengaji wa bandari. Walimuonyesha presention nzima a hakuona tatizo.
Pia wale wajamaa wanaoujua urafiki wa China na Tanzania wengi wamestaafu na wawili waliobaki waliwaambia wafanye haraka kufanya maamuzi ya ujenzi kwani wao of akiondoka, kizazi kipya kiko ki faida zaidi.
Hii ni sehemu ambayo JPM alikosea sana, now we know. Angemfungulia kesi ya uhujumu uchumi tu kng huyu!Hata Magufuli alishauriwa vibaya kumwondoa CAG Assad kisa kuhoji mabilioni aliyotumia Ndugai kwa matibabu.
Pamoja na kutoonyesha mkataba Magufuli alionyesha madhara ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo yeye alipoenda China tutaamini vipi hakupewa rushwa