Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aisee Mataga wamechutama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe sasa unajisema tu! Ndege inanunuliwa kwa mkataba tena! Kwani ilikodishwa? Jiongeze bhana!kwani mwendazake mikataba alikuwa anaweka wazi ? vipi kuhusu na mikataba ya ununuzi wa ndege je iliwekwa wazi na kupitishwa na bunge?
Na hichi kibaridi nina uhakika maua kwenye kaburi la mwendazake bado hayajanyauka ila tayari mataga wameshabetua mipango yake waliyokua wanaiunga mkono apo awali.Siamini nachokisikia kwakweli!!!!!!!!!!!!
Hawakuwa wanamshauri kwa maslahi ya nchi ila ya ulaji wao wenyewe tu . Mwendazake hajawahi waza lolote jema isipokuwa kwa maslahi yake au ndugu zake ma makampuni yake.Kwani hao washauri walishikiwa Bunduki hadi kumshauri mwendazake vibaya??
Unaweza kuta washauri wale wale waliomshauri JPM kutotekeleza mradi kwamba hauna manufaa makubwa kwa Nchi ndiyo hao hao wanashauri mradi Mhe. Samia Suluhu kuutekeleza kwa kuwa wamegundua Una manufaa kwa Nchi mara hii.
Tanzania kinachotugharimu ni Unafiki, Woga na kuendekeza Majungu.
Imagine kama mradi ungetekelezwa 2016 leo hii si ingekuwa Meli zimeanza kushusha na mzigo hapo. Tumekubali kuyumbishwa na siasa uchwara hatimaye tumepoteza zaidi ya maTrilioni kwenye Ushuru na Kodi.
Hapa Ndingai anaishangaa serikali kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Anasema alikwenda China katika mji wa Chenzen ambako ndiko yaliko makao makuu ya wajengaji wa bandari. Walimuonyesha presention nzima a hakuona tatizo.
Pia wale wajamaa wanaoujua urafiki wa China na Tanzania wengi wamestaafu na wawili waliobaki waliwaambia wafanye haraka kufanya maamuzi ya ujenzi kwani wao of akiondoka, kizazi kipya kiko ki faida zaidi.
HahahahaahahahahahaahahahahaahKumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani. Wazee akina Ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizazi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuliopo hatutakuwepo duniani tutalaaniwa na vizazi vijavyo
Uwekeni wazi wanamchi tuseme kama una manufaa au la.Lakini kuongelea vitu tu gizani si sahihi sasa tutasemaje Magufuli alishauriwa vibaya na nani? Na Ndugai kashauriwa vizuri na nani? Mkataba wabunge wameuona?
Hiyo mikataba ya miaka mingi kupindukia hiyo iwekwe wazi
Kwa kweli ni jambo la kumshukuru sana Mungu, kwa kumuondosha huyu NYOKA. Mamia wameumizwa sana kwa MKONO wake wa CHUMA.Hata ile somo la historia John Pombe Joseph Magufuli ataongelewa ukura mmoja, kwenye orodha ya marais.
Magufuli alikuwa dikteta sana.
Mwaka 2000 alimteka mgombea wa cuf ili asimpinge jimboni.
Mwaka 2005 alimteka Dr Sende, akazizuia boti zake kufanya usafirisha na akamteka na kumzuia asigombee ubunge.
2010 alipingwa na Dr Lukanima, mkufunzi wa uchumi Mzumbe, alifukuzwa kazi na akakimbilia uhamishoni Chile Magu alipokuwa Rais, kuna kijana mwingine alimpinga mwaka huo, baadae huyo kijana anaitwa Deusdedit, akapigwa uhujumu uchumi hadi leo yupo lupango. Alikuwa mtumishi NEMC.
Idara ya usalama, msijaribu kuruhusu mtu type yake kuwa Rais au makamu.
Tumshukuru sana Mungu.
Hata ile somo la historia John Pombe Joseph Magufuli ataongelewa ukura mmoja, kwenye orodha ya marais.
Magufuli alikuwa dikteta sana.
Mwaka 2000 alimteka mgombea wa cuf ili asimpinge jimboni.
Mwaka 2005 alimteka Dr Sende, akazizuia boti zake kufanya usafirisha na akamteka na kumzuia asigombee ubunge.
2010 alipingwa na Dr Lukanima, mkufunzi wa uchumi Mzumbe, alifukuzwa kazi na akakimbilia uhamishoni Chile Magu alipokuwa Rais, kuna kijana mwingine alimpinga mwaka huo, baadae huyo kijana anaitwa Deusdedit, akapigwa uhujumu uchumi hadi leo yupo lupango. Alikuwa mtumishi NEMC.
Idara ya usalama, msijaribu kuruhusu mtu type yake kuwa Rais au makamu.
Tumshukuru sana Mungu.
Kashakua Ndugai na kundi lake???Nimecheka spika alichoongea Ndugai kwenye Clip anasema ukiangalia presentation waliyotufanyia wachina kule kwao ule mradi ni mzuri sana!!!
Nimweleweshe mradi mzuri huuangalii kwenye presentation nenda kwenye mkataba huko ndiko utajua ni mzuri au la
Tuonyesheni mkataba
Pili anasena ni kosa kuanza kujenga reli kabla ya bandari!!! kwa hiyo unaanza kujenga stendi ya mabasi kabla ya barabara? Mfano hakuna barabara hata moja ya kutoka Dar kwenda mkoa wowote kwa hiyo wewe cha kwanza utaanza kujenga stendi ya ubungo wakati huna hata barabara moja?
Bandari sisi tunayo tayari hilo la kusema tumetanguliza mkokoteni mbele ya punda anayetakiwa yeye kuwa mbele na mkokoteni nyuma sio kweli .Sisi bandari tunayo tayari huo mfano hautuhusu walitakiwa wawajibu hivyo hao wachinadio tu ku swallow everything!
Naanza kunusa harufu ya rushwa Ndugai na kundi lake China walipoenda kuna kitu waliahidiwa au walikula rushwa!!
Huwezi kuukubali mradi kwa ka kapresentation tu kadogo ka dakika chache ka power point bila kuona mkataba!!!
Sasa na wale walilia bungeni sijui wana hali gani kwa sasa maana furushi la kuhamishiwa bila maneno sijui litatoka wapi tena.Na hichi kibaridi nina uhakika maua kwenye kaburi la mwendazake bado hayajanyauka ila tayari mataga wameshabetua mipango yake waliyokua wanaiunga mkono apo awali.
Ongezea ..KWA JINSI NIONAVYO:
Mafisadi at Work..... mapema...... tutasikia mengi..... tarajia yafuatayo
1. Mradi wa Umeme Rufiji atapewa muwekezaji.... na atamiliki 100% ya mradi na Tanesco watanunua umeme kwa muwekezaji.....
2. Mradi wa SGR atapewa muwekezaji na 80% ya hisa zitakuwa za muwekezaji akishirikiana na WASALITI wa Mwendazake.....
Kwa ufupi WAFISADI at Work.....
Itabidi tuwaombe kina Mabeyo watusaidie kuzuia hayo yasitokee, hakuna namna nyingine tunawza kupona.KWA JINSI NIONAVYO:
Mafisadi at Work..... mapema...... tutasikia mengi..... tarajia yafuatayo
1. Mradi wa Umeme Rufiji atapewa muwekezaji.... na atamiliki 100% ya mradi na Tanesco watanunua umeme kwa muwekezaji.....
2. Mradi wa SGR atapewa muwekezaji na 80% ya hisa zitakuwa za muwekezaji akishirikiana na WASALITI wa Mwendazake.....
Kwa ufupi WAFISADI at Work.....
Ukweli mtupu... kiongozi.....Ongezea ..
Ndege zote zitakodishwa ila watakaokodisha hawatalipa hata senti bali serikali ndio italipa uendeshaji..dadeki
Kwahiyo unasema CCM tuna ubinafsi na tunaendekeza njaa??We nae unaona umeongea ya maana!??... Tatizo ni mtu mweusi na ubinafsi wake na kuendekeza njaa.. haya mambo ya CCM,CUF na CDM mnashikana uchawi bure tu. Wale wabunge 19 wa CHADEMA walioingia bungeni walichaguliwa na nani!?.. Si ndio lilikuwa jeshi la wamama mnaloliamini CHADEMA!?... Kubali kataa mtu mweusi ni selfish sana, wote sio Mbowe, Lissu, Mnyika wala CCM. Hapa mnatafutana uchawi tu.
Mnaotaka 'mkataba' uwekwe wazi nawaonea huruma sana.. perhaps your level of naivete is astonishing!