Kweli mkuu,ila kuna shida kubwa sana kwa vingozi wetu,hivi hofu yao ilikuwa nini hadi wakawa wanamkubalia kila kitu mheshimiwa hayati JPM, uchu Wa madaraka au unafiki ?
Binafsi Mimi sina hulka ya kumshangilia mtu ilikhali naona kabisa anaharibu,ni bora nikakaa kimya,JPM nilimkubari kwakuwa niliamini alitimiza matakwa Yangu,kamwe siwezi kubadili misimamo.
Watu kama akina ndungai,magwangala and the alike hawafai kuwa viongozi Wa taifa letu,iweje wakubalianae na misimamo ya JPM huku wakimsifu kwa nyimbo na mapambio ilikhali kiuhalisia alikuwa waliamini kuwa anaharibu kulingana na mitazamo yao,
Harafu huyu ndungai anatufanya sisi malofa sana,bunge ni mhimili huru,sasa kwanini aliruhusu hoja ambayo alijua kabisa haina tija kwa nchi yetu,kwanini hakutoka hadharani ili kumpinga JPM,? ogopa sana mtu mnafiki anayejali Tumbo lake,hawa ni wanasiasa wachumia matumbo hawafai hata kudogo.
Ikiwa tu ndugai alikuwa anajipendekeza kwa JPM ,vipi kuhusu Mimi ambaye hata kula Yangu haijulikani,si itakuwa balaa.
Mpuuzi sana huyu ndugai na magwangalla wake,ngoja tuendelee kusikilza.
Pumzika kwa amani Hon.JPM, kazi iendelee kwa Hon.SSH