Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

kwani mwendazake mikataba alikuwa anaweka wazi ? vipi kuhusu na mikataba ya ununuzi wa ndege je iliwekwa wazi na kupitishwa na bunge?
Nawe sasa unajisema tu! Ndege inanunuliwa kwa mkataba tena! Kwani ilikodishwa? Jiongeze bhana!
 
Sijawahi kuwaamini Wagogo hata siku moja sidhani kama mtu ambae ana sifa ya kuomba akawa na msimamo
 
Siamini nachokisikia kwakweli!!!!!!!!!!!!
Na hichi kibaridi nina uhakika maua kwenye kaburi la mwendazake bado hayajanyauka ila tayari mataga wameshabetua mipango yake waliyokua wanaiunga mkono apo awali.
 
Cheap!
Sio ushauri huo. Ni tamko la kuikimbia kambi ilee😂😂😂
 
Hawakuwa wanamshauri kwa maslahi ya nchi ila ya ulaji wao wenyewe tu . Mwendazake hajawahi waza lolote jema isipokuwa kwa maslahi yake au ndugu zake ma makampuni yake.
 
Sasa ndio nimeamini kabisa CCM ni kitu cha kukiogopa sana ktk maisha yetu, huyu sialikuwa anashangilia ujengwaji wa reli? na alikuwa wa mbele kusema kinachofanywa na aliyekuwapo madarakani ndicho stahiki kwa nchi hii? ni maajabu kwa kweli ktk ulimwengu wa sasa Mungu atusaidie sana kuvuka ktk hili.
 
Hahahahaahahahahahaahahahahaah
 
KWA JINSI NIONAVYO:

Mafisadi at Work..... mapema...... tutasikia mengi..... tarajia yafuatayo
1. Mradi wa Umeme Rufiji atapewa muwekezaji.... na atamiliki 100% ya mradi na Tanesco watanunua umeme kwa muwekezaji.....
2. Mradi wa SGR atapewa muwekezaji na 80% ya hisa zitakuwa za muwekezaji akishirikiana na WASALITI wa Mwendazake.....
Kwa ufupi WAFISADI at Work.....
 
Kwa kweli ni jambo la kumshukuru sana Mungu, kwa kumuondosha huyu NYOKA. Mamia wameumizwa sana kwa MKONO wake wa CHUMA.
 
Mnaotaka 'mkataba' uwekwe wazi nawaonea huruma sana.. perhaps your level of naivete is astonishing!
 
Kashakua Ndugai na kundi lake???
 
Kwa kweli ni jambo la kumshukuru sana Mungu, kwa kumuondosha huyu NYOKA. Mamia wameumizwa sana kwa MKONO wake wa CHUMA.
 
Na hichi kibaridi nina uhakika maua kwenye kaburi la mwendazake bado hayajanyauka ila tayari mataga wameshabetua mipango yake waliyokua wanaiunga mkono apo awali.
Sasa na wale walilia bungeni sijui wana hali gani kwa sasa maana furushi la kuhamishiwa bila maneno sijui litatoka wapi tena.
 
Ongezea ..
Ndege zote zitakodishwa ila watakaokodisha hawatalipa hata senti bali serikali ndio italipa uendeshaji..dadeki
 
Nashindwa Cha kucomment sijui nimshauri mama maana nahisi wanaume wanamfanyia ubabe?
 
Itabidi tuwaombe kina Mabeyo watusaidie kuzuia hayo yasitokee, hakuna namna nyingine tunawza kupona.
 
Kwahiyo unasema CCM tuna ubinafsi na tunaendekeza njaa??
 
Ili mkataba uwekwe hadharani.... lazima wananchi waingie barabarani.... kwa sbb.... WASALITI watakuwa na hisa zao kwa kuwapa dili wawekezaji....
Mnaotaka 'mkataba' uwekwe wazi nawaonea huruma sana.. perhaps your level of naivete is astonishing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…