Ndugai Ana interest kwenye mradi huu. Ana maslahi mengi mno kwani watoto wake wapo China na wanasomeshwa bure! Na hata ukimchungulia vizuri mtagundua kuwa vijisenti alivyopiga kavifungia kwenye benki za China kwa kivuli Cha watoto wake waliopo huko!Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo....
Kabisa naaona watu wanajiandaa kugawana nchi sasa, nina mashaka sana hata na Report ya CAG sasaIeleweke, serikali haina hela, makusanyo yote ya mapato yanaenda kulipa madeni na kulipa mishahara na posho za safari. hivyo hawa watu hawana hela za kuiba, hapo wanachonga mzinga....
Hata hizi report za CAG kuna watu wako nyuma yake, hii nchi sasa watu wanajiandaa kugawana, tutarajie Wazungu, Wachina wakija kwa wingi kugawana nchiNdugai ni mnafki
Hii ndo Optional shida watu wako tiyari?Tuufumue huu Mfumo tuanze upya
Hiyo Katiba mpya tu Mama anasema isubiri utasema anaongelea Kaswida kumbe ni haki yetu.Hii ndo Optional shida watu wako tiyari?
Alafu kisha ndiyo wale wale kila siku wanabadilishana tu nafasi...Huku wakituachia mbegu mbaya ya tabia za kubadilika badilika...So pathetic!Ogopa sana watu wanao kushangilia na kukuunga mkono kwenye kila kitu.
Hapo ondoa CCM, tatizo ni la watanzania walio wengi maana hata huko CDM mambo ni yale yale, tumbo projects...Ukiangalia wabunge karibia wote waliopitishwa na tume kimagumashi wengine bila kupingwa (hata kupigiwa kura za ndio/hapana) ndio walikuwa wanamsifia sana JPM hata alipokosea na ndio ghafla wamebadilika na kujionyesha kumuunga mkono Mama pamoja na kukigeuka kila alichokifanya mwendazake!...
Hiki ni kirusi kinachotakiwa kuondolewa upesi sana. Matumizi yake ya pale bungeni tu yanaweza kumuondoa!!! Ukichunguza zaidi unaweza kugundua kuwa lazima ana interest kwenye huo mradi wa bagamoyo, inawezekana wachina walisha mpa chochote kwani kama mtakumbuka kuna wachina waliohusika na huo mradi waliwahi kumtembalea ofisini kwake!Hata Ndugai kamsaliti mwendazake....kazi kweli.
Ndicho nachosema, wamejaa kila mahali kuanzia chini mpaka juu...Hawa watu wakujipendekeza na kutengeneza CV za kwenda kupata viyoyozi badala ya kusaidia nchi na raia ili welfare ya kila moja ipande.Kwani hao washauri walishikiwa Bunduki hadi kumshauri mwendazake vibaya?
Unaweza kuta washauri wale wale waliomshauri JPM kutotekeleza mradi kwamba hauna manufaa makubwa kwa Nchi ndiyo hao hao wanashauri mradi Mhe. Samia Suluhu kuutekeleza kwa kuwa wamegundua Una manufaa kwa Nchi mara hii...
Hao ndio waliokuwa wakimshauri vibaya magufuli magu alipotambuwa kwamba alikuwa na washauri hewa moyo umeshavimba wapinzani kina zito na lema walikuwa wanatowa ushauri mzuri tu lakini huyo ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kundi la wachumia tumbo kuwadhihaki na kuwaona hawapendi maendeleo.Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo...
YEHODA rafiki yangu (inabidi sasa nikuite hivyo), kwa sababu naona maumivu ni yetu sote, mimi na wewe, hata kama ni kwa sababu tofauti.Mama Samia kaa chonjo kuna kundi la wezi wanataka kurudi hewani kwa spidi ya mwewe hata arobaini haijaisha
Waimba mapambio wote watajulikana tu.Hata Ndugai kamsaliti mwendazake....kazi kweli.
Japo najua ni utovu wa nidhamu, ila kiukweli huyu jamaa atakua ni mlevi, kwa sababu Hayati JPM alikwishasema, ni mlevi tu ndio anaweza akayakubali masharti ya mradi huo. Hili jamaa ni linafiki sijapatabona hapa duniani, damn it!!!!Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo....
Kama sisi tulivyorithishwa zigo la IPTL kkmmmmmmk zao!!!!Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani. Wazee akina Ndugai musije achia vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizazi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuliopo hatutakuwepo duniani tutalaaniwa na vizazi vijavyo...