Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Kudadadeq walahi,yaani hata wewe andunje!!!
 
Yaani ndungai anachekesha yaani miaka mitano nchi ilikua inaendeshwa kibabe na mtu moja na wakafyata mtu mwenyewe alikua anamiliki bastola moja tu! Sasa alimvalia njuga prof Assad ili afukuzwe kwa nini alipowaita wabunge dhaifu? Yaani walijua jamaa anakwenda kuuwa uchumi wa nchi kibabe na bado wakamuogopa, kweli magu alikua mtemi.
 
Mwaka huu mtapasuana wenyewe
 
Na wala haoni aibu kusema maneno hayo, kana kwamba anawaambia watu wasiokuwa na akili kichwani!

Na huyu ni mfano wa viongozi tunaowategemea kuliendeleza taifa hili na kulipa heshima stahiki kati ya mataifa mengine!
 
Ndugai anashangaza kwakweli

Yaani kuoneshwa presentation na kupewa vimaneno viwili vitatu basi amejaa kingi

Jpm kipindi kile alizungumzia madhaifu yaliyomo ktk huo mkataba kwamba haiwezekani mchina akajenga kisha masharti yaliyomo yakitutaka kutokuendeleza bandari yoyote kwa kipindi chote ambacho mchina atakuwa ana operate, pili léase agreement walitaka iwe for 99 yrs etc

Huu ulikuwa mkataba wa kinyonyaji, hauna tofauti na mikataba ya kina chifu Mangungo

Sasa huyu ndugai ameahidiwa nini mpaka apotoke waziwazi namna hii tena ktk dunia ya watu walioelimika!????
Tena kiongozi wa mhimili mkubwa kabisa wa nchi,,, aibu aibu aibu

Ndio maana ex-CAG alisema mapema tuna bunge dhaifu
 
Hilo ndilo tatizo lingine kubwa la nchi hii. Kukosekana kwa bunge huru.
leo ndio nimeona wanasiasa hawawezi kuiona pepo kwa unafiki wao,huyu huyu ndugai aliwekwa pale na mzee leo anaongea haya kweli
 
Daaah! Hivi hii nchi rais ni yule mstaafu au mama? Ila ndugai aseme aliyemshauri mwendazake vibaya ni nani?
 
Hata arobaini badooo!! Mwenye ileclip ya Kinana akiongea na Nape tafadhali!!
Tumekwisha! Kibaya zaidi anawatolea mfano aliowaita "majirani zetu wa hapo juu" K E N Y A ambao wapo wanalia kilio cha malaya aliyepewa noti bandia baada ya kuuza papuchi na mkataba wa SGR yao!
 
Majambazi wakubwa sana nyinyi.
 
Alama za mtu mnafiki ni tatu:
1. Kusema uongo
2. Akitoa ahadi hatimizi
3. Kuendelea kufanyia watu hiyana.
(Albukhaary na Muslim)
 
Huku ni kuweweseka... Wameona hotuma ya mama inaenda kukaa kooni kwao... WANAHAHA KUPIGA U-TURN
 
NAIPENDA BAGAMOYO.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
bagamoyo Kwanza
 
Umeandika utumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…