Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kweli nyinyi maccm ni ndumila kuwiliNAIPENDA BAGAMOYO.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
bagamoyo Kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nyinyi maccm ni ndumila kuwiliNAIPENDA BAGAMOYO.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
bagamoyo Kwanza
Kama hakuwepo na hakuwa na madaraka vileHata Ndugai kamsaliti mwendazake....kazi kweli.
Kweli nyinyi maccm ni ndumila kuwili
Nimekusikia na kukusoma leo mkuu 'NONIYANG'WAKA' -(kitu kama ndege wa mwaka?)!Hata ile somo la historia John Pombe Joseph Magufuli ataongelewa ukura mmoja, kwenye orodha ya marais.
Magufuli alikuwa dikteta sana.
Mwaka 2000 alimteka mgombea wa cuf ili asimpinge jimboni.
Mwaka 2005 alimteka Dr Sende, akazizuia boti zake kufanya usafirisha na akamteka na kumzuia asigombee ubunge.
2010 alipingwa na Dr Lukanima, mkufunzi wa uchumi Mzumbe, alifukuzwa kazi na akakimbilia uhamishoni Chile Magu alipokuwa Rais, kuna kijana mwingine alimpinga mwaka huo, baadae huyo kijana anaitwa Deusdedit, akapigwa uhujumu uchumi hadi leo yupo lupango. Alikuwa mtumishi NEMC.
Idara ya usalama, msijaribu kuruhusu mtu type yake kuwa Rais au makamu.
Tumshukuru sana Mungu.
weeeh! Jpm wakushauriwa au aliusoma mkataba.Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena.
Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99.
Pia soma: Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.

Kula like boss Leo umetema madini Sana.Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani. Wazee akina Ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizazi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuliopo hatitakuwepo tutalaaniwa na vizazi vijavyo
Uwekeni wazi wanamchi tuseme kama una manufaa au la.Lakini kuo ngelea vitu tu gizani si sahihi sasa tudamaje Magufuli alishauriwa vibaya na nani? Na Ndugai kashauriwa vizuri na nani? Mkataba wabunge wameuona?
Hiyo mikataba ya miaka mingi kupindukia hiyo iwekwe wazi
Ohoo, yenu macho na masikio? Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki kwenye kutoa maoni na ikibidi kushinikiza kujua faida na hasara za miradi kama hii. Ukiwa mtazamaji hasara ni yako.Yetu macho na masikio
Mkuu Yoda,Hilo ndilo tatizo lingine kubwa la nchi hii. Kukosekana kwa bunge huru.
Thank youKumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani. Wazee akina Ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizazi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuliopo hatitakuwepo tutalaaniwa na vizazi vijavyo
Uwekeni wazi wanamchi tuseme kama una manufaa au la.Lakini kuo ngelea vitu tu gizani si sahihi sasa tudamaje Magufuli alishauriwa vibaya na nani? Na Ndugai kashauriwa vizuri na nani? Mkataba wabunge wameuona?
Hiyo mikataba ya miaka mingi kupindukia hiyo iwekwe wazi
Hawa si ni ''wachapa kazi '' wa Magufuli lakini? Si ndio alikuwa anawaamini na kusema wana uzalendo? Maskini mzee wa watu hakujua alikuwa amezungungukwa na mbwa mwitu. Alidhani kina Lissu ndiyo maadui zake kumbe walikuwa wazalendo na hawa kina Ndungai ndiyo maadui wa Taifa.Nimecheka spika alichoongea Ndugai kwenye Clip anasema ukiangalia presentation waliyotufanyia wachina kule kwao ule mradi ni mzuri sana!!!
Nimweleweshe mradi mzuri huuangalii kwenye presentation nenda kwenye mkataba huko ndiko utajua ni mzuri au la
Tuonyesheni mkataba
Pili anasena ni kosa kuanza kujenga reli kabla ya bandari!!! kwa hiyo unaanza kujenga stendi ya mabasi kabla ya barabara? Mfano hakuna barabara hata moja ya kutoka Dar kwenda mkoa wowote kwa hiyo wewe cha kwanza utaanza kujenga stendi ya ubungo wakati huna hata barabara moja?
Bandari sisi tunayo tayari hilo la kusema tumetanguliza mkokoteni mbele ya punda anayetakiwa yeye kuwa mbele na mkokoteni nyuma sio kweli .Sisi bandari tunayo tayari huo mfano hautuhusu walitakiwa wawajibu hivyo hao wachinadio tu ku swallow everything!
Naanza kunusa harufu ya rushwa Ndugai na kundi lake China walipoenda kuna kitu waliahidiwa au walikula rushwa!!
Huwezi kuukubali mradi kwa ka kipresentation tu kadogio ka dakika chache ka power point bila kuona mkataba