Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Aliko anaomba Ben Saanane achomvye mkono kwenye maji na kumuunyizia matone lakini Mungu Abraham anamfahamisha ufa ulioko kati yao.

Huyu bwana alikuwa mzigo sana na kimsingi ametugharimu sana.

Wapumzike kwa amani Ben, Azory, Mawazo, na wahanga wote wa dhuluma za wazi za awamu ya tano na vibaraka wao.
 
Kuna MTU atakuja kukomenti "nikimkuta ndugai mbinguni nitakata rufaa"
 
giphy.gif
giphy.gif
 
Huyu bwana alikuwa mzigo sana na kimsingi yametugharimu sana.

Wapumzike kwa amani Ben, Azory, Mawazo, na wahanga wote wa dhuluma za wazi wa awamu ya tano na vibaraka wao.
Pamoja na wale waliokotwa kwenye viroba ambao hatufahamu majina yao. Walikosa mazishi na ibada za imani zao. Mwanga wa milele uwaangazie eeh Bwana na pumziko lenye kheri uwajalie.
 
Naunga mkono, mkataba huo uwekwe wazi. Ili watanzania tujiridhishe kama ni kweli Rais alishauriwa vibaya.
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena

Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99


i kweli
 
Hata Magufuli alishauriwa vibaya kumwondoa CAG Assad kisa kuhoji mabilioni aliyotumia Ndugai kwa matibabu.
Pamoja na kutoonyesha mkataba Magufuli alionyesha madhara ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo yeye alipoenda China tutaamini vipi hakupewa rushwa
 
Unafiki wa CCM ndiyo upo hapa!! leo Mzee wao kalala hata arobaini hajamaliza wameanza kum-sabotage.
 
Hizo clip za Ndugai, mbona ni za muda mrefu tena wakat Mr Jiwe yupo!
 
Ndugai ndiye aliyesema atake asitake watamwongezea muda! Leo naye akiri zimerudi...!
 
Ndugai hata unavyo zungumza tu unaonekana kuna kitu umepewa sio siri. Yaani hiyo presentation ndio ilikuchanga kweli.


Hapa Ndingai anaishangaa serikali kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Anasema alikwenda China katika mji wa Chenzen ambako ndiko yaliko makao makuu ya wajengaji wa bandari. Walimuonyesha presention nzima a hakuona tatizo.

Pia wale wajamaa wanaoujua urafiki wa China na Tanzania wengi wamestaafu na wawili waliobaki waliwaambia wafanye haraka kufanya maamuzi ya ujenzi kwani wao of akiondoka, kizazi kipya kiko ki faida zaidi.
 
Bila ya kujalisha yalio ndani ya makubaliano ya huo mkataba wa mradi, lakini huo mradi Ni Bora kuendelezwa na Kama Kuna ya kurekebishwa na yarekebishwe.

Mji wa Bagamoyo ungekua wa namna nyingine, ajira zingeongezeka na uchumi ungekuwa kwa namna moja ama nyingine.
 
Ya Tanzania yanafurahisha hivi mbabe ndugai aliyewekewana Kinga ya kutoshtakiwa ndiye huyu huyu au ni kinyago chake.
 
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.

Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena.

Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99.




Pia soma: Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

Tatizo la nchi hii ni ccm tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena

Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99


Kumbe ni kweli wakati hayati akiwa hai alimweka mfukoni kama ilivyokuwa inadaiwa. Kama hivi ndivyo ilvyo basi hata mpango wa kuhamia Dodoma ufutwe haraka sana iwezekanavyo.

Kwa ujumla hii inathibitisha ni akina nani wanafiki na huko tuendako Bwawa la Nyerere na SGR zitafutwa kwa kuwa wachawi walikuwa ndani na ni watu wa karibu sana na hayati.

Ndio maana siku za mwisho kabla ya umauti alitamka 'mtanikumbuka kwa mazuri'.

Watu walijifanya wanalia huku wakiomboleza kwa nukuu ya vifungu vya biblia kumbe walikuwa wanang'ong'a wakijisemea moyoni ni bora tupate ahueni.

Hakuna wa kumuamini iwe ni Spika, Rais, Waziri, mbunge au mtendaji yeyote wa serikali na umma ni wanafiki wa PhD kama alivyokuwa anasema mwanaharakati Cyprian Musiba.

Hapo rasmi ishara inaelekeza kwamba mwaka 2021 kabla haujaisha wanasiasa, watumishi wa umma na serikali, sekta binafsi na raia wataingia mgogoro TATA na MCHUNGU kwa kizazi hiki kilichopo na kinachokuja.

The bygone page and chapter have been ultimately closed down and sealed with marred skeptic era encroaching in full gear engagement almost impossible to forecast the aftermath ahead.

'Fimbo ya nne imekamata usukani kwa sura ya Fimbo ya Sita' .[4+6=10*1/2-1]
 
Back
Top Bottom