Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

Wale mademu wa zali la mentali wame Isha, wame Baki yule wa hii ngoma ya gari
 
Mwalimu mmoja aliolewa na kijana mlala hoi, mwalimu alimpenda kama alivyo. Mwalimu akachukuwa mkopo ili kumfungulia mume wake biashara ya duka. Badala ya kutunza biahara kumbe yule kijana alikuwa kidumu cha jimama fulani, Jimama likatafuna ile biashara na mtaji ukafa. Masikini mwalimu mpaka leo anakatwa mshahara wake.
 
Shida ni pale unapodhani yaliyokupata wewe ndo yatawapata na mengine,labda suala la single maza ndo liko general
 
Huwezi mzidi Covax ama Natafuta Ajira kwenye kuzungumzia hizi issues za mahusiano,.......Hawa jamaa ni next level ndugu,......kubali tu wamekuzidi kwenye huu upepo
 

Hayo mambo kwèñye jamii Yapo mengi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…