Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

Hakuna biashara inayokufa Kwa kuangalia Jinsia

Biashara inaweza kufa hata ikifanywa na mtu mwenye jinsia zote

Muhimu kuwa na strategic inayoeleweka na kufanya self assessment ya Kila wakati ili kuweza kujua namna ya kuboresha

Hivi Siku hizi hakuna wale mademu wa Enzi za Profesa ya Zali la Mentali? Wale wageti Kali na mboga saba 🙌

Wengi huogopa Mke akiwa na kipato anageuka kuwa Mbogo.

Mwanamke kama alifuata unafuu wa Maisha Kwa Mwanaume Siku alipata Pesa lazima abadilike
 
Mimi kama ntaoa mwanamke tamfungulia biashara na mtoto tamfungulia biashara....Dunia ya Sasa mke na watoto ndo watu wako wa karibu

Ndio. Mfundishe Mtoto jinsi ya kufanya biashara kama Huna Muda MPE mtaji kidôgo ajifunze mwenyewe kidôgo kidôgo Kwa Kupata uzoefu
 
Wengi huogopa Mke akiwa na kipato anageuka kuwa Mbogo.

Mwanamke kama alifuata unafuu wa Maisha Kwa Mwanaume Siku alipata Pesa lazima abadilike
Ni kweli Mkuu, lakini sio wote wanaweza kuwa hivyo

Nilichogundua Wanawake wanaweza kuanza kubadirika iwapo wataanza kuona una-cheat hadharani pasipo kumuheshimu

Lakini kama unampiga matukio ya kimya kimya, hakuna Mwanamke atabadirika.

Muhimu umuheshimu, na hivi vimilioni milioni ukipata sio mbaya kumuingizia kwenye akaunti yake na kumwambia Baby, nimekuingizia hela za Matumizi zibajeti
 
Nakupa Ñyota Kwa ulichosema.

Upo Sahihi kabisa, wengi WA Wanawake hubadilika Kwa tàbia kuu moja Sisi Wanaume ku-cheat waziwazi
 
Huyo cavax anaongea tuu lkn sio mzima kichwan, nilimwambia anipe sababu ya hy biashara kufa ila akawa anazungukazunguka tuu yn pamoja na kupiga story na huyo mwalimu ila ameshindwa kujua sababu ya biashara kufa.
 
Covax kwenye ile mada amekuwa kama mwanaume muimba taarabu
 
Back
Top Bottom