Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Hakuna biashara inayokufa Kwa kuangalia Jinsia
Biashara inaweza kufa hata ikifanywa na mtu mwenye jinsia zote
Muhimu kuwa na strategic inayoeleweka na kufanya self assessment ya Kila wakati ili kuweza kujua namna ya kuboresha
Hivi Siku hizi hakuna wale mademu wa Enzi za Profesa ya Zali la Mentali? Wale wageti Kali na mboga saba 🙌
Wengi huogopa Mke akiwa na kipato anageuka kuwa Mbogo.
Mwanamke kama alifuata unafuu wa Maisha Kwa Mwanaume Siku alipata Pesa lazima abadilike