jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Wewe ukiua watu kwa Akili zako binafsi utapenda Polisiccm waenda kuwakamata ndugu zako ambao hawajakutuma kwenda kufanya shambulioWasombwe tu, usalama wa Tanzania ni muhimu, pia kwa usalama wao, yani ndugu yako kaua mzazi, ndugu, mfanyakazi, wa mwenzio hujui wanaweza kukufanyia nini
Akili za Kigaidi hiziWewe ndiyo gaidi la kuwabambikia wengine kesi waanze kukukamata wewe kwa kuhimiza ugaidi wa kuwabambikia wengine kesi kwa njia haramu za kishetani
Wewe gaidiWewe ukiua watu kwa Akili zako binafsi utapenda Polisiccm waenda kuwakamata ndugu zako ambao hawajakutuma kwenda kufanya shambulio
Wewe ukienda kufanya shambulio kwa Akili zako binafsi pasipo kutumwa na familia yako ungependa familia yako ikasombwe usweke ndani pasipo kuwa na hatia?Ile bunduki ni wazi wanafamilia walikuwa wanaijua Ila he waliwahi kutoa taarifa? Polis au popote
Katika hili lazma wahusike
Na hata marafiki wa Karibu yake wanapaswa kuchunguzwa
Akili za Kigaidi hiziNdio mimi gaidi namba 1/na ukikaa kwenye timing zangu nakupiga pumbu bwege wewe.
Hakika, waza mbali zaidi ya hapo maana, pengine hao askari ni wa Mtwara au Manyara sio Dar.Mkuu Tatizo hujui ukiwaacha usalama wao itakuwaje?
Fahamu jamaa ameuwa je walio poteza ndugu zao wakija kulipa kisasi kwa familia.
Kaa chini kunywa maji harafu fkria.
Ugaidi ni kuwabambikia kesi watu ambao hawahusiki na TukioWewe gaidi
MaCCM nani asiejua kuwa nyie ni MAGAIDI.Wewe gaidi
GaidiUgaidi ni kuwabambikia kesi watu ambao hawahusiki na Tukio
Acha ugaidi wakoAkili za Kigaidi hizi
GaidiMaCCM nani asiejua kuwa nyie ni MAGAIDI.
Mnateka, kutesa na kuua Watanzania.
Hivi jamaa walishamzima kabisa ama. Kummk hii nchi nikiwa na bi zangu kadhaa naiacha. Shida Sana kuishi na masikini yaani basi tu. I hate it too muchKuna siku nimeona jamaa analia kakamatwa kwenye fuso,kapakia mbao zake na vibali vyote anavyo lakini bado askari wakamtoa pesa ndefu.
Ramadhan Ntunzwe wa Kariakoo alifilisiwa mtaji wake kwa kukataa kutoa rushwa kwa polisi na tra,wakamzima.
Nasubiri nisikie kuhusu huyu msomali shida ni nini hasa.
GaidiAcha ugaidi wako
Wewe gaidi acheni kuwaonea watu kwa njia haramu za kishetaniGaidi
Mbona hamkukamata familia ya Mbowe?Wewe ni Gaidi wa Kike unafadhiri magaidi kama Mwenyekiti wako.