Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Kama ni kweli huu ni upumbavu wa KUKURUPUKA. Ndugu kuwa mhalifu haina maana ndugu zake wote ni wahalifu labda kama kuna ushahidi wa uhalifu wa ndugu zake. Wakamate na maccm yote basi yaliyokuwa karibu na huyo muuaji. View attachment 1908450
Hivi unapoangalia picha hii ya huyu mtu na hawa wenzake, huyu Hamza angekuwa kavaa magwanda ya CHADEMA hali ingekuwaje leo hii ndani ya nchi hii?

Na hao wenzake wawili tayari wangekuwa ndani wakiteswa!

Nchi yetu imefikia huku tulipofika sasa hivi!

CCM hawawezi kufanya uhalifu. Huyo mtu pamoja na ushahidi wote uliopo watamkana kama hajawahi kuwa ndani ya chama hicho.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Wengine sisi tunaona kama watu wanapeana madini wenyewe kwa wenyewe. Wapo Barrick Gold. Wapo WaSriLanka na WaThai ambao wanachukua madini mengi. Halafu wapo wananchi. Nani hasa anafaidika na haya madini yetu ya Watanzania? Kama hili siyo tukio la ugaidi la Al Shabbab au Dola la Kiislamu, hiyo ni faraja kidogo kwangu.

Na kama polisi wataisweka ndani familia ya Hamza na kuitesa, hiyo itakuwa ni kichekesho . Hili swala la kugawana Mali za taifa sawa siyo jambo dogo. Mi nawaona hawa watu wa madini wanavyobadilisha magari kama shati.
 
Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu

Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi

Source: Ayo tv
Dah,

Sasa hao wana hatia gani?
 
Wewe ukiua watu kwa Akili zako binafsi utapenda Polisiccm waenda kuwakamata ndugu zako ambao hawajakutuma kwenda kufanya shambulio
Aiseee! Una akili ndogo sana. Huhitaji hata kupewa a b c za matukio ya kiusalama.
 
Huyu mjinga anajiuliza swali na anajibu mwenyewe tena kwa habari ya kusikia. Anatafuta kiki kwa kutumia tukio hili. Hakuna mantiki ya kuweka upuuzi huu. Anabwabwaja bila ushahidi wowote. Shame on you both. Anatumia hypothesis bila kuonyesha ushahidi kujenga hoja na bado inakuwa mbovu tu.
 
Wewe unaona ni upuuzi lakini kama wewe ungekuwa ni mmoja wa wale ambao kesi yako ingekuwa ni moja ya hizo kesi 147 zilizofutwa usingemuona mjinga.
Na wewe ni nani humu hadi uniamulie nini cha kupost? Acha upumbavu wako ná kujikweza kaanzishe forum yako huko utakuwa na nguvu ya kuamua nini kiwe posted na nini kisiwe posted lakini hapa JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY huna JEURI hiyo!!! STAY ON YOUR LANE!
Huyu mjinga anajiuliza swali na anajibu mwenyewe tena kwa habari ya kusikia. Anatafuta kiki kwa kutumia tukio hili. Hakuna mantiki ya kuweka upuuzi huu. Anabwabwaja bila ushahidi wowote. Shame on you both. Anatumia hypothesis bila kuonyesha ushahidi kujenga hoja na bado inakuwa mbovu tu.
 
fake picture na aliyetuma anafuatiliwa

Wanamfuatilia nani? Kigogo si akifuatiwa muda mrefu, mbona hajakamatwa? Tuna jeshi la polisi lisilotekeleza wajibu wake kwa usahihi, bali kazi yao ni kushirikiana na watawala majizi ya kura. Matokeo yake polisi wanapambana na wapinzani ambao ni raia wema, tena wasio na silaha kwa maagizo ya watawala walioko madarakani kwa wizi wa kura, huku polisi wakipoteza maisha yao pindi wanapopaswa kudeal na wajibu wao.
 
Unajua wamekuta nini nyumbani kwao? Unatoa mapovu tu!

Watakuta nini zaidi ya mabox ya kura za wizi? Polisi hawa hawaaminiki wanaweza kwenda na kubambikia chochote ili kupoteza ushahidi wa wizi wao. Jeshi la polisi ni sehemu ya uhalifu unaoendelea hapa nchini. Kama watu wanakaa kwenye vituo vya polisi zaidi ya miezi miwili bila kupelekwa mahakamani, na wengine kufia polisi, na rais leo kasema kuhusu tabia hii ya polisi. Katika mazingira hayo unaamini nini kwenye hili jeshi la polisi linalosimamia uporaji wa kura hapa nchini?
 
Kumbe polisi ndio chanzo.....walitaka kumdhulumu basi sawa tusubiri sarakasi za Sirro na Muroto....ukweli utawaweka huru...m
 
Back
Top Bottom