Mkuu raha yamama mtunzie kwenye nyumba yake sio yeye aje akae kwako labda kiwe nikikongwe kabisa.We jamaa bana, yani mama akae na hao watoto 8 Kwenye nyumba moja , wewe leo unauliza watoto 8 watamtunzia wapi mama mmoja wakati nyumba zipo 4, na kuna wengine wanamalizoa ujenzi kwa maelezo ya dogo, zinaweza kua hata zaid ya nyumba 7, zooote hizo mkose pa kumtunzia mama ??
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru Sana kwa mwongozo. Kama nilivyotangulia kusema kuwa mzee alikufa ghafla.
kuhusu Mali nyingine ninazojua nje ya nyumba hizo nne Ni pikipiki Moja na bajaji Moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nikuulize wewe na ndugu zako wote ni wa mama mmoja au wengine ni wa nje?naona Mambo Yanazidi kuwa makubwa.
nikikomaa Mambo yatakuwa meeeengi Sana,
nikipotezea nakuwa nimejidhurumu mwenyewe na nitaumizwa na hii hali vibaya mno,...
Hapo anapoishi saiv ni wapi?hawezi kuendelea kuishi hapo hapo ? watoto hawawez mjengea yake ?Mkuu raha yamama mtunzie kwenye nyumba yake sio yeye aje akae kwako labda kiwe nikikongwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe siumeshauri nyumba zote ziuzwe? Nandiomana nikakwambia namama yao je?Hapo anapoishi saiv ni wapi?hawezi kuendelea kuishi hapo hapo ? watoto hawawez mjengea yake ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyempa ndiye alitakiwa aulizwe ameona nini ambacho wewe hukujui kama BabaTafuta chako ndugu usitake uhasama na ndugu zako uza nyumba kajenge ya kwako,ww hapo hujachangia hata msumari wa bati shida iko wapi? Watu 8 kwanini ww upate nyumba peke yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema ziuzwe? nimesema kwakua wako nane na nyumba n 4, wagawane wawili wawili , wabadili na umilki , nyumba moja wamiliki wawiliSasa wewe siumeshauri nyumba zote ziuzwe? Nandiomana nikakwambia namama yao je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta chako ndugu usitake uhasama na ndugu zako uza nyumba kajenge ya kwako,ww hapo hujachangia hata msumari wa bati shida iko wapi? Watu 8 kwanini ww upate nyumba peke yako
Sent using Jamii Forums mobile app