Shukrani sanaMtoa mada na wengine, someni hicho kitabu na myafuate hayo yalioelekezwa na wabobezi wa sheria. Utakuja kunishukuru baadae. Pia inabidi mfuate kanuni za mirathi (kwa mtoa mada) na wengine tuliobaki tuandike wosia kuepuka migogoro
Dah nashukuru Mungu sijawahi kuiwazia nyumba yetu japo mie ndo last born na kwa mila zetu mtoto wa mwisho ndie mrithi wa mjengo.
Kwa sasa mshua anauboresha mjengo kila uchao nawaza tu zogo lake kati ya first borne brother na mama wa kambo litakuwaje japo sidhani kama ntashiriki kugombania. Nataka nijenge kwangu tu ili ile nyumba niipangishe huko mbeleni.
Hahahah tatizo kurogana ndio sitaweza mkuu maana bi. mkubwa mtu wa michezo.Bro mbona kama umemuwazia mzee ndio ataanza [emoji23]. Ukianza wewe hizo vurugu
Anyway better ku fight kupata chako maana cha urithi kinaweza kuja na maamuzi yoyote.
Alexander
Hapana nimeulzia maana naona una mipango ya kuipangsha mzee akifa kama vile umeahidiana na Maulana kuwa lazima atatangulia mzee kabla yakoKwahio unataka nife sindio?
Hahahah we jamaa bana hatuombei ila mambo hutokea naturally! Huenda nikapigwa hata na Scania nikarudisha namba. Maisha ni fumbo.Hapna nimeulzia maana naona una mipango ya kuipangsha mzee akifa kama vile umeahidiana na Maulana kuwa lazima atatangulia mzee kabla yako
Kama umeoajua mkeo anawaza kuwa utatangulia ipo siku atakwambia hivi ukifa utaniachaje na watotoHahahah we jamaa bana hatuombei ila mambo hutokea naturally! Huenda nikapigwa hata na Scania nikarudisha namba. Maisha ni fumbo.
Hahahahahah ndio hivyo hamna namna 🤣🤣🤣 baba afe tu ila watoto wakueKama umeoajua mkeo anawaza kuwa utatangulia ipo siku atakwambia hivi ukifa utaniachaje na watoto
lakini swali la kujiuliza kwa Nini wapate mawazo ya kuuza hii yenye jina langu?.
nyingine hawazioni?
hakuna Nia ovu kweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba zote zikiuzwa.. yeye na mama yake wataishi wapi?
hapana mkuu nyumba hazijauzwa maana mzee kafariki juzi juzi tu.nimesema nyumba zote nne Moja Ina hati ya jina langu nyingine hati zote Zina majina ya mzee, Sasa Hawa wakubwa wanataka hii yenye hati la jina langu tuiuze zile nyingine zibaki hapo ndo nashindwa kuwaelewa.Mama yako ndio mbaya! Yeye ndio mkata mzizi wa fitna, neno lake ndio mwanangaza kwenu, kitendo cha kukaa kimya anamaanisha nini!?
Je hizo nyumba 3 walizouza ulichukua mgao? Km ulichukua mgao huna budi na hii mpige bei mwende pasu kwa pasu.
Ila hapo mbaya ni mama yenu, ugomvi wa mali ni kitu kibaya mnoo.
subili kwanza. sionkiwa sikatai Bali nashangaa mawazo Yao yaani Moja kwa moja wameona hii iliyoandikwa jina lango ndo ya kuuza?Mkuu kuwa muungwana gawan na wenzio sawa, unaonekana unatamani hiyo nyumba ubaki nayo peke yako
hapana mkuu nyumba hazijauzwa maana mzee kafariki juzi juzi tu.nimesema nyumba zote nne Moja Ina hati ya jina langu nyingine hati zote Zina majina ya mzee, Sasa Hawa wakubwa wanataka hii yenye hati la jina langu tuiuze zile nyingine zibaki hapo ndo nashindwa kuwaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
+1Ndugu zako washenzi, iweje iuzwe yenye jina lako, halafu nyingine zitulie, wasilete ukhanithi.
Lakini mie naendelea kusimama pale pale, mbaya ni mama yenu, kitendo cha kukaa kimya si kizuri hata kidogo.
Mzazi hayupo nani atatoa jibu? Mama mwenyewe hana jibu subiri apigwe misumari atafungua uzi mwingine humu ndugu zangu wameniroga baada ya kukataa kuuza nyumba yetuAliyempa ndiye alitakiwa aulizwe ameona nini ambacho wewe hukujui kama Baba
Ndugu uswahilini hakuna sheria,kuna jamaa kinondoni alikua kama ww,mtoto wa mwisho na alikua South Africa,ndugu zake wakataka kuuza nyumba yao akawake ngumu akarudi ni kichaa mpaka leo yupo pale mkwajuni unaweza kujifunza kwake,unanifokea bure chief MZEE ndo aliandika mmiliki wa hii nyumba inayogombaniwa Ni mimi, Sasa ndo hivyo akatangulia mbele za haki bila kuliweka wazi kwa watu wote Ila nyaraka ndo inaonyesha. hapa najaribu kuangalia Sheria na taratibu zinasemaje ili nijue Kama Ni kukubari iuzwe tupate hela wote ama Hawa wanataka kuniibia kijanja.
Sent using Jamii Forums mobile app