Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda