Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ushasema illegal business hapa we're talking about legal business maana betting sio illegal,
Mkuu acha ubishi, kuna boda boda wamejenga kabisa na wana biashara kubwa lakini hawafikii hata asilimia 1, ni sawa kwa wasanii wapo wengi sana lakini ni asilimia 0.01 waliotoboa ni mtajiri akiwemo mtoto wa Tandale

Wapo walipewa boada za mikataba nao wakaanza kununua boda zao wanazitoa kwa mikataba waka expand kuwa na maduka na biashara zingine
 
Mkuu acha ubishi, kuna boda boda wamejenga kabisa na wana biashara kubwa lakini hawafikii hata asilimia 1, ni sawa kwa wasanii wapo wengi sana lakini ni asilimia 0.01 waliotoboa ni mtajiri akiwemo mtoto wa Tandale

Wapo walipewa boada za mikataba nao wakaanza kununua boda zao wanazitoa kwa mikataba waka expand kuwa na maduka na biashara zingine
Mimi naishi na bodaboda nawafahamu wanacheza Vicoba sio rahisi km unavyoaminishwa
 
Hela ya kamari huwa inarudi kulekule leo unashinda 7M kesho kuna shetani atakwambia weka mkeka wa 3M ushinde 50M ukiweka tu umeliwa keshokutwa shetani anakwambia weka 2M ushinde 20M ukiweka tu umepigwa tena unajikuta umebaki na laki 6
Umerogwa bila kujua ukishinda wahi K/koo kachukue Mizigo sema ubaya wa hizo hela ni kuzimwaga ovyo ovyo hapo ndio kunakua na tatizo unajikuta unazimwaga ili tu usizirudishe Ila ukija kutafakari ulichokifanya sicho ulichokipangalia na wala hukutarajia na ukisema ubaki nazo wewe ni addict (teja wa kubet ushakua zombie) lazima ubet tu na ukibet zinarudi kule kule
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe boda
Akili yake tu bado haijakomaa
 
Umerogwa bila kujua ukishinda wahi K/koo kachukue Mizigo sema ubaya wa hizo hela ni kuzimwaga ovyo ovyo hapo ndio kunakua na tatizo unajikuta ujazimwaga ili tu usizirudishe Ila ukija kutafakari ulichokifanya sicho ulichokipangalia na wala hukutarajia na ukisema ubaki nazo wewe ni addict (teja wa kubet ushakua zombie) lazima ubet tu na ukibet zinarudi kule kule
Ni hivi hela za kamari hazina baraka ni sawa no hela za riba tu,,,,utapanda lkn ipo siku utashuka tu
 
Bora yake yeye anaweza kuipata hio hela tena hata kwa njia nyingine za kihalali
kuna mwamba apa wakuitwa Michael Carroll alishinda lotto £ 9.7milion zaid ya 31.5B ya kibongo mwamba akaanza bata za hatari advtaiz kiongoz alikua anahudumiwa na wahudumu wakiwa uchi, group sex na madem 9 karibia milion tano za kibongo kwenye cocain daily baada ya muda mfupi mwamba akawa pumbu kabisa kushinda hata huyo ndugu yako bora yake yeye kabak na boda na kafriji kakuwekea visungura mwamba wa island alibaki tee kabisa saiv anafanya kaz ya kukusanya magogo kwenye kiwanda cha makaa ya mawe analamba dola kumi kwa saa ilikwamba aweze kuikamata ile hela alioskwanda ndani muda mfupi itabid apige mzigo kwa masaa milion moja na laki mbili na ishilini na tano elfu miatisa kumi na tano 1,225,915.1 ATTACH=full]2954021[/ATTACH]
images (63).jpeg
 
Back
Top Bottom