Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

The Chance are ,is to save young generations to abstain gambling there's a lot of ways to earn clean money .

If 99% gamblers are end up being broke , means this way is tough and toughness
Hivi kwanini huongeagi lugha ya taifa mkuu, does it somehow give you a feeling of being smart just to speak what many Tanzanians can't comprehend ?
 
The Chance are ,is to save young generations to abstain gambling there's a lot of ways to earn clean money .

If 99% gamblers are end up being broke , means this way is tough and toughness
Gambling can be tough to some few but most of the gamblers know how to and that's why they make some money, if and if else you don't know how to then you don't how to, don't ask how to do what I'm talking about gambling
 
Gambling can be tough to some few but most of the gamblers know how to and that's why they make some money, if and if else you don't know how to then you don't how to, don't ask how to do what I'm talking about gambling
True mkuu , no time or space that will erase gambling in mind of gamblers

All we need is to play safe .
 
We unasema betting ?! Kuna dogo alipewa hela za mirathi milioni saba na chenji.Picha linaanza hana atm card akatoa dau mtu yoyote wa bank atakayefanikisha kumtolea laki 5 anampa laki mbili.Sisi mabrother zake wamtaa ukimsalimia haitiki anadai hakujui.Alimwaga msosi akadai ni mchafu na unanuka .Anaokota makopo kwa sasa.Nimechoka kusimulia.
Ahahaha
Mikasa ni mingi sijui nianze kuusimulia upi
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe boda
Tatizo ni elimu ya bongo
 
Mungu akikataza kitu ujue hakifai kamari n haramu so hata ukipata pesa itapotea tu fasta coz n pesa haram mi nilishuhudia mtu kampiga muhind milion 26 but ss ivi anagongea chakula kijiwen na alipiga izo hela mwezi wa kumi mwaka jana
Kwanini kamari ni haram?
 
The value of money and expenditure

Nchi ambayo ukiwa na 2500 unakula chakula na soda maana yake mil 7 ukiipigia hesabu sio hela ndogo

Once you earn such amount unakuwa umepiga hatua Fulani nzuri

Sasa ukiwa nje ulaya au marekani hiyo hela ni ndogo Sana

Whata matter most sio kiwango cha hela tu angalia na Earning plus expenditure utaona mil 7 you can do something positivity.
Mzee hata kwa Marekani sio Pesa ndogo Hiyo kumbuka Unazungumzia 3 Grand,
3 grand mzee sio pesa Ndogo 😅😅
 
Wewe unashangaa huyo wa M7. Yupo mmoja wa kijiweni alimtekenya muhindi akacheua 44M ilikua mwezi wa 11. Amejenga kafikisha nyumba kwenye renta alikua anatoa pesa 250k kila baada ya masaa 3.

Juzi kati amepita anatafuta anayeuza simu ya button. Nadhani tatizo kubwa ni mentality ya hawa washindi shida sio kamari.
naunga mkono hoja

Kama hela hukuwa na mipango nayo si ajabu kuisha ghafla
 
Back
Top Bottom