macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Sema wewe shetani, mimi binadamu nitaambiwa ni mwongo.Easy come, easy go.
Kimburu wewe! Unakuja na I.D nyingine kujiteteaNo superior command of English at all. Comment zipo grammatically wrong na tense/tune.
Wengi English inatupiga chenga ila atleast ukisoma sentesi haitakiwi kuwa na ukakasi wa wazi kama kutokujua wapi pa kuweka is vs are....
Sasa mahauri mbongo aibuke na debe mitusi
Ndiyo UkweliEasy come, easy go.
Issue nzima ni mentality mkuu pengine hakuwahi kushika kiasi icho. Kwa imani zangu m2 tu ina weza change life lako ukituliza ndonga ukafwata mikakati yako ulio jiwekea una winiNilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Kwani zile unazo pigwa mzee? mchezo ni pata potea ufanyie la maana ama ule bata wewe tu.Kwa sababu unapata hela ambayo hujaifanyia kazi na sio halali yako n kama umempora mtu huwez weka 1000/= uje upate milion 10 kama ni biashara n biashara ya aina gani ndo mana tunasema kamari haram na hata ukipata iyo hela ndo hayo yanakuja kutokea tunayoyazungumza mtu unapiga milion 40 ila baada ya mda unakuja kuokota makopo mtaani huku ila kama n hela halali haiwez tokea ilo suala
Uwongo huuWe unasema betting ?! Kuna dogo alipewa hela za mirathi milioni saba na chenji.Picha linaanza hana atm card akatoa dau mtu yoyote wa bank atakayefanikisha kumtolea laki 5 anampa laki mbili.Sisi mabrother zake wamtaa ukimsalimia haitiki anadai hakujui.Alimwaga msosi akadai ni mchafu na unanuka .Anaokota makopo kwa sasa.Nimechoka kusimulia.
Watoto hawajui haya mambo.Soma between the line
Pale Bukoba kuna MTU alikuwa anasafirisha illegal business kutoka Uganda
Sasa alikuwa anaingiza PESA kubwa Sana
Usichoelewa life Ina code nyingi ndo maana nimekuambia huu msemo kuwa "opportunities and success lie in the job"
Something that will determine ur success and opportunities it will just stay hidden/invisible in eyes of others.
Hoja ya dhambi ya kamari ni dhaifu mno...halafu kuhusu pesa kwisha inatokana na akili za mtuKwa sababu unapata hela ambayo hujaifanyia kazi na sio halali yako n kama umempora mtu huwez weka 1000/= uje upate milion 10 kama ni biashara n biashara ya aina gani ndo mana tunasema kamari haram na hata ukipata iyo hela ndo hayo yanakuja kutokea tunayoyazungumza mtu unapiga milion 40 ila baada ya mda unakuja kuokota makopo mtaani huku ila kama n hela halali haiwez tokea ilo suala
Uwe unasoma vitu kwa kuelewa.Kwa taarifa yako tu huwezi kunidanganya kitu chochote kinachohusiana na mirathi na sheria zake.Nakufafanulia sasa dogo alikuwa na account ila ATM hana .Unajua bank huwa zinafungwa sa ngapi?Ukiwa huna ATM wala sim banking hela utaitoaje?.Uwongo huu
Utalipwaje mirathi bila kua na account bank?
Pole kwake, na dogo2 vipi?Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
Mnamuonea tu,kwa wahaya Ni kawaida yao tu.Hakafu huyo ni chalii mdogo wa miaka 26 tu so bado ana theories nyingi kichwani,bado hajapajua field pakojeNa mimi nilitaka kusema hivo.
JF inaruhusu kutumia Kiingereza ila jamaa ana broken English mpaka msomaji unakasirika huyu mtu alikusudia kusema nini.
Motivational speakers bana1M ni ndogo sana au niseme ilikua kubwa labda kwa Mwaka 2000 sio 2024, 2024 buku haina thamani buku10 ndani ya dakika 15 imeyeyuka tena hizo dakika 15 nyingi sana ni dakika 1 ukigusa tu imeyeyuka nini 1M?
Ukipewa 200M leo haimalizi Miezi 6 imekata nini 1M, nazungumzia matumizi sio uwekezaji, yaan tukupe 200M utumie tu usifanye uwekezaji wowote Miezi 6 hutoboi imeyeyuka nini 1M?