Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

No superior command of English at all. Comment zipo grammatically wrong na tense/tune.

Wengi English inatupiga chenga ila atleast ukisoma sentesi haitakiwi kuwa na ukakasi wa wazi kama kutokujua wapi pa kuweka is vs are....

Sasa mahauri mbongo aibuke na debe mitusi
Kimburu wewe! Unakuja na I.D nyingine kujitetea
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Issue nzima ni mentality mkuu pengine hakuwahi kushika kiasi icho. Kwa imani zangu m2 tu ina weza change life lako ukituliza ndonga ukafwata mikakati yako ulio jiwekea una wini
 
Kwa sababu unapata hela ambayo hujaifanyia kazi na sio halali yako n kama umempora mtu huwez weka 1000/= uje upate milion 10 kama ni biashara n biashara ya aina gani ndo mana tunasema kamari haram na hata ukipata iyo hela ndo hayo yanakuja kutokea tunayoyazungumza mtu unapiga milion 40 ila baada ya mda unakuja kuokota makopo mtaani huku ila kama n hela halali haiwez tokea ilo suala
Kwani zile unazo pigwa mzee? mchezo ni pata potea ufanyie la maana ama ule bata wewe tu.
 
Huyo hata angeokota hiyo pesa still angeitumia vibaya. Self discpline ni tatizo. Na hili tatizo lipo hata kwa baadhi ya wachimbaji wa madini. Anateseka anapata mamilioni ndani ya miezi sita anarudi shimoni hana pesa.
 
We unasema betting ?! Kuna dogo alipewa hela za mirathi milioni saba na chenji.Picha linaanza hana atm card akatoa dau mtu yoyote wa bank atakayefanikisha kumtolea laki 5 anampa laki mbili.Sisi mabrother zake wamtaa ukimsalimia haitiki anadai hakujui.Alimwaga msosi akadai ni mchafu na unanuka .Anaokota makopo kwa sasa.Nimechoka kusimulia.
Uwongo huu
Utalipwaje mirathi bila kua na account bank?
 
Soma between the line

Pale Bukoba kuna MTU alikuwa anasafirisha illegal business kutoka Uganda

Sasa alikuwa anaingiza PESA kubwa Sana

Usichoelewa life Ina code nyingi ndo maana nimekuambia huu msemo kuwa "opportunities and success lie in the job"

Something that will determine ur success and opportunities it will just stay hidden/invisible in eyes of others.
Watoto hawajui haya mambo.
Mchana Boda usiku mbeba mawe.
Wakati wewe unalala kuna wanaume na wanaweke usiku wanafanya kazi za hatari sana za kutumia akili pasipo kumwaga damu ya mtu.

Daima huwezi fanana na mtu aliyelala masaa mawili usiku akiwa anahangaika na mishe za akili.

Haya mambo yapo na tunaishi na hao watu..sisi tunahesabu siku..wao wanahesabu pesa.

Mfano mwaka huu wa Uchaguzi na Mwakani..kuna wana tayari wameshaansa vile vipeperushi vya vyama vyetu pendwa vya siasa na Mama Kizimkazi.

Mwanaume gani hajawahi fanya kazi ya risks na za office na bado unaibiwa.
Unaandika Projects au kutoa mawazo makubwa,watu wanapata hela za kufa mtu wewe unaambuliwa kupewa Mshahara wa 750,000 tena unakatwa na NSSF,PAYE..hizo ndizo kamari za maisha.
 
Kwa sababu unapata hela ambayo hujaifanyia kazi na sio halali yako n kama umempora mtu huwez weka 1000/= uje upate milion 10 kama ni biashara n biashara ya aina gani ndo mana tunasema kamari haram na hata ukipata iyo hela ndo hayo yanakuja kutokea tunayoyazungumza mtu unapiga milion 40 ila baada ya mda unakuja kuokota makopo mtaani huku ila kama n hela halali haiwez tokea ilo suala
Hoja ya dhambi ya kamari ni dhaifu mno...halafu kuhusu pesa kwisha inatokana na akili za mtu
 
hakuna haramu wala halali katika utafutaji!
tofauti ni kwamba kuna uharamu uliokubalika na ambao haukukubalika.
Mwanza kuna jamaa aliuza bajaji yake mil 5. akawa anabeti stake ya mil 1 kila siku anapata laki 1.
miaka 5 hajapotezaga
 
Uwongo huu
Utalipwaje mirathi bila kua na account bank?
Uwe unasoma vitu kwa kuelewa.Kwa taarifa yako tu huwezi kunidanganya kitu chochote kinachohusiana na mirathi na sheria zake.Nakufafanulia sasa dogo alikuwa na account ila ATM hana .Unajua bank huwa zinafungwa sa ngapi?Ukiwa huna ATM wala sim banking hela utaitoaje?.
 
Kupata PESA inaweza kuwa kazi Sana Ila kuimiliki PESA ndo huwa inahitaji kuwa na open mind set kutokuwa na tamaa ya kutumia Sana plus mikakati.

Wengi hatuna huwezo wa kumiliki PESA that is way we live paycheck to paycheck life and hand to mouth life

Tatizo hapo sio hela ya kamali Ila hapo tatizo ni mind set ya MTU
 
Mtafute huyu mwamba ndio utajua inalipa au hailipi,SKOMOTA (Ngwana Sesi)...​

mtafute huyu mwamba Google ndio utajua inalipa au hailipi,Skomota(Ngwana Sesi)...
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Pole kwake, na dogo2 vipi?
 
Mwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eventually the House Always Wins...; Odds Favor them
 
Na mimi nilitaka kusema hivo.
JF inaruhusu kutumia Kiingereza ila jamaa ana broken English mpaka msomaji unakasirika huyu mtu alikusudia kusema nini.
Mnamuonea tu,kwa wahaya Ni kawaida yao tu.Hakafu huyo ni chalii mdogo wa miaka 26 tu so bado ana theories nyingi kichwani,bado hajapajua field pakoje
 
1M ni ndogo sana au niseme ilikua kubwa labda kwa Mwaka 2000 sio 2024, 2024 buku haina thamani buku10 ndani ya dakika 15 imeyeyuka tena hizo dakika 15 nyingi sana ni dakika 1 ukigusa tu imeyeyuka nini 1M?

Ukipewa 200M leo haimalizi Miezi 6 imekata nini 1M, nazungumzia matumizi sio uwekezaji, yaan tukupe 200M utumie tu usifanye uwekezaji wowote Miezi 6 hutoboi imeyeyuka nini 1M?
Motivational speakers bana
 
Back
Top Bottom