Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Yan mwamba mpaka amemiliki boda bado unaona hajafanya kitu? Mpe maua yake aisee labda kama na ww ulitaka upate mgao. Kuna watu hawajawahi hata kununua shati na hiyo hela ya betting yeye ana kitu cha kusimulia aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…