Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ila mimi sio kakaKaka wanasema tenda wema nenda zako mwaka fulani nikiwa chuo nilinona kuna mwanachuo mwenzetu ni kanda moja alinyimwa kufanya mtihani wa mwisho kwasababu ya michango moyo wa hofu ya mungu ikaniingia nikampa laki tano japo kusema ukweli kipindi kile nilimpa tu sikuwaza madhara yake.
Tukamaliza chuo yeye mwaka moja tu kapata ajira huwezi amini mpka sasa mimi nipo mtaani yeye yupo kwenye mfumo mwaka wa 12 huu hajawahi nirudishia hata mia. Wanasema tenda wema nenda zako
Nashengena khnee!Ila mimi sio kaka
Mshana Jr, ktk ubora wake,....Ukiweza anua tanga maana ukiendelea kumdai halafu akadinda mnaweza kuleta mpasuko kati yenu utakaodumu vizazi vyenu vyote.
Samehe ila usirudie tena! Utapata nyingine nyingi zaidi
Mimi sio mahakamani tu yaani nakuja kwako nabeba kila kitu...Umpekeleke ndugu yako mahakamani sababu ya hela?
We ni mchaga sorry?
Umesaidia wangapi aisee ije kuwa ndugu yako kabisa tena unasema wadamu!
Potezea tu
Hilo ni kosa lako mwenyewe ndugu yako fast time unamkopesha 5M ulikuwa umpatie 5K or 1M any way unajitakia uhasama wa kizazi chenu hata hiyo mahakama anakwenda kukuumbua madamu huna mashahidi wala hamjaandikiaka kama unao ushahidi kesi inaweza kubadilika .Ukiweza anua tanga maana ukiendelea kumdai halafu akadinda mnaweza kuleta mpasuko kati yenu utakaodumu vizazi vyenu vyote.
Samehe ila usirudie tena! Utapata nyingine nyingi zaidi
Hongera sanaMimi sio mahakamani tu yaani nakuja kwako nabeba kila kitu...
Undugu kwenye biashara ni vitu viwili tofauti.
Ongea na wazee kwanza kabla ya kwenda kwenye sheria.. Kama ndio tabia yake hata huko kwenye sheria atakusumbuaBroo mm sin uwezo wa kumzamehe mtu milion 5 sina kwa kweli sina hata Uwezo wa kusamhe laki mbili sembuse hyo hapna jtatu kesi itanza
Positivity huleta furaha, siha njema na huongeza umri wa kuishi na kuchelewa kuzeekaMkuu uko positive sana na maisha
Ongea na wazee kwanza kabla ya kwenda kwenye sheria.. Kama ndio tabia yake hata huko kwenye sheria atakusumbuaBroo mm sin uwezo wa kumzamehe mtu milion 5 sina kwa kweli sina hata Uwezo wa kusamhe laki mbili sembuse hyo hapna jtatu kesi itanza
Positivity huleta furahaMkuu uko positive sana na maisha
❤❤❤📌🔨💪🏿Mshana Jr, ktk ubora wake,....
Nimeipenda hii point....
Wafungie vioo tu ila usiwatamkie neno baya mkuu...Niliandika nikiwa na maumivu mtanziko moyoni na akilini baada ya mleta mada kupandisha mada yenye mlengo wa kuziumiza hisia zangu Kama yeye hivyo nikajikuta katika typing errors
Alright ?
Toa ushauri Sasa niwafenyeje Hawa viumbe ila kuhusu undugu nishaanza kuupunguza kwa kutowapigia wakipata shida japo ninachohitaji zaidi ni hela yangu ,maana najua hata marehemu anaumia kuliko kawaida .
Kama uko serious:Broo mm sin uwezo wa kumzamehe mtu milion 5 sina kwa kweli sina hata Uwezo wa kusamhe laki mbili sembuse hyo hapna jtatu kesi itanza
Sawa Kaka ila shida Mimi kusamehe sijui kabisa ndugu .Wafungie vioo tu ila usiwatamkie neno baya mkuu...
Jikaze tu mkuu...Sawa Kaka ila shida Mimi kusamehe sijui kabisa ndugu .
Hapa kila nikilala ikifika saa nane usiku naanza kujihisi moyo kuuma naamka naikumbuka ile hela Kuna mda nawaza labda niwaroge tu maana sielewi kabisa
Ila ni kweli lakini kwa maumivu ya moyo ninayopitia basi wataniuwa tuJikaze tu mkuu...
Kuna majuto mengi sana baada ya kufanya maamuzi kwa hasira.
Kumbe tuko wengi, hiyo imekuwa njia yangu ya kumalizana na ndugu na jamaa kiurahisi kabisa, yeye anajuwa nimempa kama deni wakati mimi najuwa nimemsaidia akirudisha sawa asiporudisha napo sawa tu.Kuna kitu inatakiwa kijulikane ndugu hakopeshwi anasaidiwa tu. Yaani ndugu yako akija na gia ya nikopeshe ww katika hitaji lake angalia kias unachoweza kumsaidia mfano anahitaji laki tano ww unauwezo wa laki moja mwambie sina laki tano ila ntakukopesha laki moja huku moyoni ukijua kabsa umemsaidia
Nimewahi kukopesha ndugu zaidi ya watatu hakuna hata moja amewahi kunirudishia hata mia ila kwakuwa ilikuwa ni pesa ninayoimudu sikuumia wala kuwaza.
Ndugu lawama.
Kumbuka AOCH WAT ILOREGA MOS MOS.