Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii.
nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam.
Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani shambani.
Nika sema isiwe kesi, jana usiku nika kujulisha kuwa bro kesho juma tatu naanza safari.
Ukasema niondoe wasiwasi, eti tuko pamoja na tayari ume andaa kuku wa chalinze.
Cha kushangaza nime fika stendi ya magufuli hapa, una niambia nimu ulizie rasi?.
Kila ninaye muuliza ana ishia kuni tazama na kucheka, Eti wana mjua rasi Simba tu.
Bro Half american ndugu yako bado niko stendi ujue.