Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Nasogeaji kwa mfano wakato daily nakutambia humu nina gari maisha mazuri, naishi masaki. Nyie watu wa mikoani tunawajua mmekuja kutuchungulia tu. Wakamate wengine mimi siji. Unataka uone kuwa naishi huku mbali kwenye chumba hakina hata cealing board?
Kaka hayo tuta yazungumza baadae, ila Kikubwa niokoeni ndugu yenu.
 
Sikia, tukienda mkoa tunapeleka mikate. La kufanya ngoja niibuke ni mikate nikipe nauli unipe huyo mbuzi, jogoo, unga na vingine ulivyobeba urudi nyumbani.
Bro siwezi kukubali huo ni zaidi ya wizi, yaani unipe mkate na nauli.

halafu mi niku achie mbuzi, jogoo2 mihogo gunia 1 na unga wa dona aisee sikubali.
 
Back
Top Bottom