Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Usijali kijana mzuri, na hiyo mizigo yako acha tu nije nikufuate mwenyewe. Nitapita shortcut ya goba, nipe kama lisaa limoja hivi.

Tafuta mgahawa ukae, ujiagizie chakula nikifika nitalipia 🙂🤗.
Aisee hiyo goba ndio naisikia leo!, vipi iko karibu na hapa nilipo?.

halafu hamu ya kula hotelini natoa wapi nime ishia kula mihogo niliyo beba.
 
Mimi nimetoka kidogo ila ngoja nikuitie babu yako Grahams aje akupokee
Yupo wapi mgeni nikampokee?

Ndiyo natoka kuvuta Kiko na Wazee wenzangu hapo Magomeni

Anitumie map ya mahali alipo ili niende chap nikampokee

Sisi Wazee tuna msemo wetu, kwamba "Mgeni aje, Mwenyeji apone" 😜

Natumai mgeni atakuwa amekuja na debe kadhaa za Mchele kutoka Kahama 🤗
 
Nasikia watu wa mkoani wanakula chakula kingi sana, ila sio kesi...

Sikia, namtuma bajaji hapo, dogo flani amevaa sendo na shati la dtaft...

Akifika mpe hiyo mizigo, afu nisubiri hapo naja na bike kukusaidia...
 
Yupo wapi mgeni nikampokee?

Ndiyo natoka kuvuta Kiko na Wazee wenzangu hapo Magomeni

Anitumie map ya mahali alipo ili niende chap nikampokee

Sisi Wazee tuna msemo wetu, kwamba "Mgeni aje, Mwenyeji apone" 😜

Natumai mgeni atakuwa amekuja na debe kadhaa za Mchele kutoka Kahama 🤗
Aisee nyie ndio wazee wenye hekima huku mjini, mzee wangu niko hapa stendi ya magufuli toka saa 7 mchana.

Ila sijaja kivivu niko na mbuzi, jogoo2, mihogo gunia 1 na unga wa dona maana mi siwezi kula chipsi.
 
Back
Top Bottom