Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Dar, ila nyie madogo mnanichekeshaga sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umebeba nini ?Bro haukai daslam?
Namtafuta bro Mpaji Mungu huyu mchaga ana semaga yuko daslam, sijui ata nipokea?Wengi ni jobless tu sema hizi I'd za kujificha zina mambo🤣🤣🤣
Bro afadhali kabisa uko daslam, ila hili suala sio la kucheka ni shida tu.Nipo Dar, ila nyie madogo mnanichekeshaga sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umebeba nini ?
Hebu nieleweshe kwanza kulala nao kivipi?unaweza kulala na wasichana wa4 chumba kimoja?
Nataka nikusaidie
As a brother and sistersHebu nieleweshe kwanza kulala nao kivipi?
Hilo halina shida kabisa, haya waki nigeuza house boy mi sina nongwa.As a brother and sisters
Lazima ungebeba mifugo😂😂Hilo halina shida kabisa, haya waki nigeuza house boy mi sina nongwa.
halafu sijaja kivivu niko na mbuzi, jogoo2, mihogo gunia 1 na unga wa dona maana mi siwezi kula chipsi yai.
Atakupokea mkuu ila uende na vyakula vya kutosha 😁Namtafuta bro Mpaji Mungu huyu mchaga ana semaga yuko daslam, sijui ata nipokea?
Changamka kijana nina harakaKaka Kama ume niona si usogee?, maana nikija wata Iba hii mizigo ya magunia.
Sijaja kivivu niko na mbuzi, jogoo2, mihogo gunia 1 na unga wa dona maana mi siwezi kula chipsi yaiAtakupokea mkuu ila uende na vyakula vya kutosha 😁
Lengo lako mni ibie hii mizigo ehh?, nimesha sema niko na mizigo ya magunia hivyo niki ondoka wata iba.Changamka kijana nina haraka
Ama kweli nime yatimba, sister njoo uni pokee Sasa.Lazima ungebeba mifugo😂😂
Kuongozana na mbuzi na jogoo mjini ni aibu😂😂ngoja Kijana masikini ajeAma kweli nime yatimba, sister njoo uni pokee Sasa.