Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Mpe heshima yake amekwama stendi🤣🤣
😂😂😂 nasemaje sisemi kitu kumhusu muheshmiwa Raisi, niliona huu uzi kabla yako lakini nikapita kimya kimya.
Kumbuka kauli ya Raisi ni Sheria.
Labda nimwite semaji la chama bwana makutupora aje afanye anachoweza kumsevu Mista presidential maana jua ndio hilo linazama.
 
Aisee nyie ndio wazee wenye hekima huku mjini, mzee wangu niko hapa stendi ya magufuli toka saa 7 mchana.

Ila sijaja kivivu niko na mbuzi, jogoo2, mihogo gunia 1 na unga wa dona maana mi siwezi kula chipsi.
Nielekeze ulivyovaa ili nikimtuma dereva wangu asipate shida kukutambua.

Ukiwa hapo Stendi ya Magufuli, Kuna Saluni Moja ya Kiume (Berber shop) opposite na kibanda cha Wakala wa Pesa (MPesa/NMB)

Ingia humo nitakukuta, waeleze wewe ni mgeni wa Mzee Grahams watakuruhusu uketi ukinisubiri
 
Back
Top Bottom