Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #141
Nime vaa shati jeupe ila kutokana na na kufubaa liko Kama jekundu.Nielekeze ulivyovaa ili nikimtuma dereva wangu asipate shida kukutambua.
Ukiwa hapo Stendi ya Magufuli, Kuna Saluni Moja ya Kiume (Berber shop) opposite na kibanda cha Wakala wa Pesa (MPesa/NMB)
Ingia humo nitakukuta, waeleze wewe ni mgeni wa Mzee Grahams watakuruhusu uketi ukinisubiri
suruali nyeusi ya kitambaa, sema ime nyooshwa.
Halafu niko na mizigo ya magunia, Niki ondoka wata iba mzee.