Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kua jasiri hapo watu kibao wanalala, si ajabu ukapata pisi kabisa.Ewe 007 a.ka boyka wa vikindu Vishu Mtata mwanao niko stendi hapa, hebu sogea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kua jasiri hapo watu kibao wanalala, si ajabu ukapata pisi kabisa.Ewe 007 a.ka boyka wa vikindu Vishu Mtata mwanao niko stendi hapa, hebu sogea
Kaka niko na washkaji wa stendi hapa wame leta sufuria, tuko tuna songa ugali na jogoo 1 hapaKua jasiri hapo watu kibao wanalala, si ajabu ukapata pisi kabisa.
Kaka kiufupi nime yatimbaduuuh mbna kama umekuja town kwa mbio za mwenge
Bro usiwe snitch, leo kwangu kesho kwako mzee.Mi napokea wadada tu 😂
Nime kuwa teja tena 🤔, maintain your limit.Half american unateja anakusubiria stendi umetokana naye wapi??
Washkaji wa stendi wame nipokea, tuko tuna songa ugali na jogoo 1 hapa.ndio mambo ya mjini haya nunua maji hauko mkoani ndugu usione haya kununua maji mji unakutaka hivyo
Semaji hata wewe una nikandiaRais amekuwa msiri sana anakuja kimya kimya bila msemaji wa CHAMA kujua
Ukiambiwa ulikuja dar kimya kimya kulamba asali 🤣 utakataa?Semaji hata wewe una nikandia
Semaji hata wewe una nikandiaRais amekuwa msiri sana anakuja kimya kimya bila msemaji wa CHAMA kujua
Hamna kitu ka hicho semajiUkiambiwa ulikuja dar kimya kimya kulamba asali 🤣 utakataa?
Uko wapi Nije nikufatee? Huyo kuku Bado unapo nae ?Hamna kitu ka hicho semaji
Kaka cheka ndio wapi?, kwanini msije kuni pokea ndugu zangu.Upo wap now mkuu Mimi nipo kigamboni Cheka ndipo napo kaa Kama unaweza kuja ruksa kaka karibu sanaa dar es salaam.
Niko nje ya stendi kwenye ma bajaji Huku, tuko tuna songa ugali na jogoo 1 hapa na wana walio nipokea.Uko wapi Nije nikufatee? Huyo kuku Bado unapo nae ?
Hey boss najua niko nje ya protocol, ila can't you save me for the last time?Wageni huja na taarifa mwezi mmoja kabla. Wewe umeshafika ndiyo unatoa taarifa? 😅😅😅😅😅 kalale hotel. Next time utakuja na taarifa mapema. 😁
Bro ushakuwa snitch ehh?Nipo pabayaaaaa nitakupigiaaa
Nashukuru Sana bro, kwa Sasa niko nje ya stendi ya magufuli.Ok. Mimi kwa sasa nipo nje ya nchi ila naweza mtuma kijana aje akuchukue haina shida. Nipe mawasiliano. Leo wale kuku wa kienyeji.
Sister nawe mbona hufiki aisee?Hio simu inaporomoka na asimia hamsini🤣
Sasa izime afu washa itafika 90
Utanishukuru baadae
😹😹😹😹😹
🤣🤣🤣🤣😂😂Ukiambiwa ulikuja dar kimya kimya kulamba asali 🤣 utakataa?
Ndugu zangu chekeni, ila msi sahau bado niko stendi hapa🤣🤣🤣🤣😂😂
Ukianza kula mbuzi tutatoka hiyo miogo we kula tu mtu una mbuzi si uza na huyo jogoo urud kwenuBro mbona hamfiki Sasa, hapa nime anza kula mihogo niliyo beba.