Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii.

nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam.

Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani shambani.

Nika sema isiwe kesi, jana usiku nika kujulisha kuwa bro kesho juma tatu naanza safari.

Ukasema niondoe wasiwasi, eti tuko pamoja na tayari ume andaa kuku wa chalinze.

Cha kushangaza nime fika stendi ya magufuli hapa, una niambia nimu ulizie rasi?.

Kila ninaye muuliza ana ishia kuni tazama na kucheka, Eti wana mjua rasi Simba tu.

Bro Half american ndugu yako bado niko stendi ujue.
 
Watu wa dar huwa tunakukaribisha ukiwa mkoani, ukifika tu stendi simu ndipo huwa inapotea na tunakuwa bsy
 
We jobles hujambo?
 
Raisi wetu hapo ndio umeshafika, Haina haja ya kumtafuta nusu mmarekani, hapo tafuta zako boksi tu la kujiegeshea baadaeπŸ˜…πŸ˜…... Ukiona haujala na hauna pesa Anza kula vichwa hapo, Kila abiria utakae mtoa nje hadi kwenye gari fulani na akakata ticket unakula buku ya commission, ukipiga vichwa kumi unapata zako kitita cha alufu kumi, unakula mwezi mzimaπŸ˜…πŸ˜…
 
Ko mwanagu we si uli sema uko daslam?, mbona Kama una nikataa chafu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…