Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Mkuu, umefika fikaje Magufuli stendi ?
Kama unatokea Nanjilinji tulitegemea tukuone upo stendi ya Mbagala au Temeke.
 
Aisee ndugu zangu mni samehe, nili hisi nime pata mchongo.

Bado niko stendi Wanangu, nime vaa shati jeupe ila kutokana na kufubaa liko Kama jekundu.
Mkuu hilo shati mjini wanaliita whitedent ni swaga za kinyamwezi
Eneweyi subir nimuulize mwanangu wa makumbusho kama tunaweza tukaliuuza ukapata hela ya kuanzia
 
Ushasema umekuja na msosi soon unapokelewa ondoa shaka. Ila kuwa makini wakikupeleka sehemu kunywa soda na mizigo ukaiacha kwenye bajaji halafu jamaa akajifanya anaenda uani au pokea simu jua unaachwa hapo hapo
Bro wasi jichanganye, niko na sime na mkuki hapa.

Sema sogeeni basi wanangu, haya sio mambo rahisi.
 
Bro wasi jichanganye, niko na sime na mkuki hapa.

Sema sogeeni basi wanangu, haya sio mambo rahisi.
Nasogeaji kwa mfano wakato daily nakutambia humu nina gari maisha mazuri, naishi masaki. Nyie watu wa mikoani tunawajua mmekuja kutuchungulia tu. Wakamate wengine mimi siji. Unataka uone kuwa naishi huku mbali kwenye chumba hakina hata cealing board?
 
Pole. Mpigie simu Otherwise unajaribu kufurahisha Jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…