Mpaka anakuja hapa bimana kaanzia huko polisiPolisi mlifika kutoa taarifa? wanasemaje? Toa maelezo ya kutosha kona zote ili tuunganishe dot kama ni hao unaowatuhumu au ni kitu kingine. Mana hata Chadema wanaambiwa wanajitekaga wenyewe, ila maelezo yakisheheni wanajulikana wasiojulikana.
Kigezo gani unatumia kuwadhani magaidi?au jina [emoji23][emoji23][emoji23]Huenda wakawa magaidi kweli...Pazeni sauti kama si wahalifu basi wataachiwa baada ya uchunguzi.
Wote cos ata wao waliitwa Usalama wa Taifa. Elewa neno "Usalama"Kama sheria inaruhusu kufanya lolote unawalaumu hao au watunga sheria?
Kama kakosa msaada polisi wewe utaweza mpa msaada gani?Ndiyo maana nimekuambia uweke taarifa kamili na inayojitosheleza.
Wote cos ata wao waliitwa Usalama wa Taifa. Elewa neno "Usalama"
Acha waendelee kukaa katika mikono salama!! Tuende mbele na kurudi nyuma, magaidi wasikie tu, hawafai!! Acha serikal.i ijiridhishe!! Na kama ni magaidi kweli au wanaelekea kwenye ugaidi na waminywe sana hadi wakome!! magaidi wanapenda sana kujificha kwenye dini fulani, na dini fulani kwa namna moja au nyingine huwapepea sana magaidi!!Huenda wakawa magaidi kweli...Pazeni sauti kama si wahalifu basi wataachiwa baada ya uchunguzi.
Kuwa muelewa tatizo waliowakamata hawasemi walikoMkuu issue za uhalifu ni hatari sana ,unashangaa muuza maji? Ushawahi kuona wahalifu waokota makopo?
Kigezo gani unatumia kuwadhani magaidi?au jina [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni aheri wachache wakauawa kuliko hao wachache wakaachwa halafu wakaja kuua watu wengi sana!! Magaidi wasikie tu, hawafai hao watu!!Eeeh kwamba hujawah kusikia watu wa usalama kuwa ndiyo wauaji? Yule Kakaake na Catherine Ruge si aliua na aoao watu wa usalama? Nasasahivi ata wakitenda jinai hawashtakiwi popote sheria inawalinda.
Usisahau Kenya wamedakwa jamaa wawili watanzania wanaelekea kujifunza ugaidi, sasa itakua wamebinywa pumbu mpaka wamesema wenzao ni akina naniSio shida ili swala maybe ujizime data kukataa sio usalama... lakin nin uhakika hawa ni usalama maana mifumo yao y ukamataji inaeleweka wazi na kila mtu anajua rejea ishu y ben saanan..,azory gwand, wote wamekamatwa katik mifumo hiyo sasa unataka unipoteze maboy eti magaid wenzake.. TANZANIA hakuna magaidi bali hao watu waliokamatwa wana viashiria vya ugaidi au wana mawaidha yanayopigia debe ugaidi ila ule ugaid haswa wa kusem watu wanakaa porin wanajifunza mafunzo bado haupo
Umemaliza kila kitu!!Kitendo cha kukamatwa tu means walikuwa wanafatiliwa chini kwa chini bila wao kujijua ,after kukamata ni kuwahoji na kukusanya ushahidi wa walichokuwa wanakipeleleza ,wakikutwa na "vizibiti" hivyo watapata haki yao ya kikatiba ya "KULA CHUMA" na kama wakiwa clean basi wataachiwa.
Funguka vizuli sijakuelewaOkay.
V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.
Uislam haufundishi ugaidi.
Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
Wapelekwe mahakamani ijulikane 1Magaidi wasionewe huruma. Hata awe ndugu wa nani
Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidiWe chizi achan na mm ngoja yakukute kwenye familia yako ndo utajua uchungu wa kusingiziwa kitu usichokifanya
Umeanza kuonesha viashiria vya gaidi, ugaidi haufichikiBro naon ungekaa kimy tu maan unaniongeza hasir nikutukane ila sitaki nifike huko nakujib kwa hoj unaniletea vitisho nimekuambia mim siogopi jela wala polisi
Unamfaham na picha yake ata moja huna !Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
🤣🤣🤣🤣 japokuw inaum ila imebd nicheke tuUmeanza kuonesha viashiria vya gaidi, ugaidi haufichiki
Bro huyo jamaa ni aina ya sunni wale ambayo hata kupiga picha tu kwao ni dhambi tumejaribu kutafuta picha zake za zamani kabla ya kuingia kweny usunni tumekosa nahis alichana chana kabsa maana kabla ya hapo alikuwa muudhuliaji mzur tu wa kumbi za starehe na kupiga picha ila zote tumekosaUnamfaham na picha yake ata moja huna !
Nakubaliana na hoja yako.Kuanzia kwny kona hiyo ya nanganga kwenda hadi mbele ya ruangwa, kila mtu anamjua karibu kila mtu. Kama kweli Serikali wamemfuata, tambua wana taarifa zote kumuhusu
Ishu ya picha nishatolea maelezo post za juu kwamba kwa imani yake hata kupiga picha ni dhambi so tumetafuta picha zake za nyuma tumekosa sasa unataka nitoe maelezo gani tenaNakubaliana na hoja yako.
Mtoa hoja anashindwa kujenga maelezo ya kumhusu nduguye ambaye hajawahi hata siku moja kuwa na picha zake