Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Polisi mlifika kutoa taarifa? wanasemaje? Toa maelezo ya kutosha kona zote ili tuunganishe dot kama ni hao unaowatuhumu au ni kitu kingine. Mana hata Chadema wanaambiwa wanajitekaga wenyewe, ila maelezo yakisheheni wanajulikana wasiojulikana.
Mpaka anakuja hapa bimana kaanzia huko polisi
 
Wote cos ata wao waliitwa Usalama wa Taifa. Elewa neno "Usalama"

Rubbish, mwenye dhamana ya kutunga na kuizinisha ndo shida, mimi kama sheria inahalalisha kufanya chochote silaumu mtendaji maana anafuata sheria.
 
Huenda wakawa magaidi kweli...Pazeni sauti kama si wahalifu basi wataachiwa baada ya uchunguzi.
Acha waendelee kukaa katika mikono salama!! Tuende mbele na kurudi nyuma, magaidi wasikie tu, hawafai!! Acha serikal.i ijiridhishe!! Na kama ni magaidi kweli au wanaelekea kwenye ugaidi na waminywe sana hadi wakome!! magaidi wanapenda sana kujificha kwenye dini fulani, na dini fulani kwa namna moja au nyingine huwapepea sana magaidi!!
 
Kigezo gani unatumia kuwadhani magaidi?au jina [emoji23][emoji23][emoji23]

Kitendo cha kukamatwa tu means walikuwa wanafatiliwa chini kwa chini bila wao kujijua ,after kukamata ni kuwahoji na kukusanya ushahidi wa walichokuwa wanakipeleleza ,wakikutwa na "vizibiti" hivyo watapata haki yao ya kikatiba ya "KULA CHUMA" na kama wakiwa clean basi wataachiwa.
 
Eeeh kwamba hujawah kusikia watu wa usalama kuwa ndiyo wauaji? Yule Kakaake na Catherine Ruge si aliua na aoao watu wa usalama? Nasasahivi ata wakitenda jinai hawashtakiwi popote sheria inawalinda.
Ni aheri wachache wakauawa kuliko hao wachache wakaachwa halafu wakaja kuua watu wengi sana!! Magaidi wasikie tu, hawafai hao watu!!
 
Sio shida ili swala maybe ujizime data kukataa sio usalama... lakin nin uhakika hawa ni usalama maana mifumo yao y ukamataji inaeleweka wazi na kila mtu anajua rejea ishu y ben saanan..,azory gwand, wote wamekamatwa katik mifumo hiyo sasa unataka unipoteze maboy eti magaid wenzake.. TANZANIA hakuna magaidi bali hao watu waliokamatwa wana viashiria vya ugaidi au wana mawaidha yanayopigia debe ugaidi ila ule ugaid haswa wa kusem watu wanakaa porin wanajifunza mafunzo bado haupo
Usisahau Kenya wamedakwa jamaa wawili watanzania wanaelekea kujifunza ugaidi, sasa itakua wamebinywa pumbu mpaka wamesema wenzao ni akina nani
 
Okay.

V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.

Uislam haufundishi ugaidi.

Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
Funguka vizuli sijakuelewa
 
We chizi achan na mm ngoja yakukute kwenye familia yako ndo utajua uchungu wa kusingiziwa kitu usichokifanya
Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
 
Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
Unamfaham na picha yake ata moja huna !
 
Unamfaham na picha yake ata moja huna !
Bro huyo jamaa ni aina ya sunni wale ambayo hata kupiga picha tu kwao ni dhambi tumejaribu kutafuta picha zake za zamani kabla ya kuingia kweny usunni tumekosa nahis alichana chana kabsa maana kabla ya hapo alikuwa muudhuliaji mzur tu wa kumbi za starehe na kupiga picha ila zote tumekosa
 
Kuanzia kwny kona hiyo ya nanganga kwenda hadi mbele ya ruangwa, kila mtu anamjua karibu kila mtu. Kama kweli Serikali wamemfuata, tambua wana taarifa zote kumuhusu
Nakubaliana na hoja yako.

Mtoa hoja anashindwa kujenga maelezo ya kumhusu nduguye ambaye hajawahi hata siku moja kuwa na picha zake
 
Nakubaliana na hoja yako.

Mtoa hoja anashindwa kujenga maelezo ya kumhusu nduguye ambaye hajawahi hata siku moja kuwa na picha zake
Ishu ya picha nishatolea maelezo post za juu kwamba kwa imani yake hata kupiga picha ni dhambi so tumetafuta picha zake za nyuma tumekosa sasa unataka nitoe maelezo gani tena
 
Back
Top Bottom