lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
hawa wanajifanya jihad wakibinywa kende wanapiga ukunga.Sasa ndugu, wewe mwenyewe unatumia ID fake, halafu kwenye taarifa yako umeshindwa kutaja majina ya hao ndugu zako! Umeshindwa kutaja eneo waliko kamatiwa! Hujaweka siku na tarehe waliyokamatwa, nk!!
Halafu umejuaje kama wamekamatwa kwa kuhisiwa kujifunza ugaidi, na wakati hao wakamataji hawakusema kitu chochote?
kwanini unawasemea?wewe utakuwa gaidi mmoja wapo waliyekuacha mtaani.Soon utatiww nguvuni ueleze vizuri.Mihemko vipi bro kwamba taarifa nimetunga au... ishu iko serious yapata wiki ya pili sasa hatujuh mpendwa wet yuko hai au amekufa na hivi hawa jamaa wamepewa hadi kibali cha kuua pasi nakushtakiwa.... kikubwa kilichobaki ni mapenzi ya mungu pekee najua waliko wanateswa na kulazimishwa kusema mambo ambayo walikuw hata hawafanyi
ndo huwa wanajifichia kwenye kazi kama hizo.Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Hii ya Askari magereza sikuipata mkuu, unaweza fafanua mkuu.ndo huwa wanajifichia kwenye kazi kama hizo.
kuuza maji hata yule askari magereza aliyeacha jeshi alikuwa akiuza maji kumbe usiku wanafanya vikao vya ugaidi.
Hizi ndo shugughuli zao
1.kuuza maji 2.Dawa za kisunna 3.Alkasusu 4Kujifanya watu wa Daw'a nk
kumbe humo ndipo wanapanga ugaidi.
umeona sasa huyo ni gaidi si umeona nyendo zake.Daah its so sad ishu ikoje kile kipindi cha sakata la kibiti walikamatwa akiwepo na yeye ila wakarudishwa baada ya kuona hawakuw na hatia ila huyo imamu ambae alikuwa anawapa mawaidha yanayohusiana na jihadi nasikia aliuliwa huko huko na tangu kipindi hicho ratba yake masaa 24 tunaijua asubuh mpak saa 12 yupo kazin kwake alafu jion anarud nyumban analala na mkewe anathibitisha hajawahi kutoka usiku hata siku moja labda akahisi kuna shughuli nyingine anaifanya kwa siri
na gaidi hawezi kuwa mkristo.Dini itamhukumu ni nina hakika ni muislam
DuhHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
chuki vip wakati dola imeshikwa na waislam?Uonevu na chuki zid ya waislam ila wafanye wafanyavyo hawawezi zima nuru ya uislam
Taarifa kama hii unaongea ongea tu kama bosheni?Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
piga kelele na bibi tozo anatesa ndugu zake katika imani.Cha kujiuliza ni kwanini hayo yanaanza chadema inapoanza siasa zake majitaka?
Msikiri Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu. Msifikiri waliotaka kumzima Lussu walifanya makosa.
Chadema ni sikio la kufa.
wewe unaonekana unawafinance hao magaidi.Jaman eeeh achen pre judgement huy aliokamatwa ni ndugu yangu wa damu tumezaliwa na mama mmoja ila baba tofauti na kuhusu suala la picha.. sina picha zake kwa sababu nina mda mrefu siko mkoani almost kama miaka saba na nimeanza kutumia smart baad y kufika mjin co kipindi chote hakukuwa n event ya kusem mim tungepga picha pamoj alaf kumbuk wat wa kijijin cio wot hupend kupiga picha ipa nipo kwenye mchakato wa kutumiwa,picha zake then nitazi upload
na magaidi wazuri lazima utafute kazi ya kufanya ili ufiche uhalisia.nin uhakika kama n usalama kwa sababu walikuwa na pingu sidhani kam kun taasis nyingine isio y kiserikal ingeweza kumfunga pingu na alaf ninahisi pengine anatuhumiw kwa ishu za ugaidi kwa sababu hiyo ndo sababu pekee ambay ilimfany akae mahabus kwa mar y kwanza yaani jamaa ni msafi na hana kashfa yoyote na ukitak kuamin hlo nenda hap ruangwa mjin kamuulizie abdul muuza maji ndo watakwambia
utafunguka tu taratibu.wewe unajua mengi,naenda Lindi mjini ukaisaidie dola.Ishu nahisi ni kampani maana nasikia huy rafiki yake mmoja ana video kabisa za mauaji yanayofanywa na alshabab au vikundi vingne vya kigaidi kwenye simu yake
Muhadzabe vipi? Inakuwaje?mkuu nilitaka kusema hili. haya majina sio mazuri kabisaa, shida,tabu,masumbuko, maimuna,makata, wasira,
hajawahi vipi?wakati huyo late imam ndo alikuwa anawacoach mpaka mnamshauri kama familia aache?Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
Kimbia faster hapo kwa mangi uagizie chochote ntakuja kulipa baadaye.Mmh, karate na ugaidi wap na wap,osama alikuwa hajui hata kurusha yokho gel
dola imeshikwa na waislam ila mfumo wa kikafirichuki vip wakati dola imeshikwa na waislam?
huo ubongo au makamasi?
Askari Magereza aliaacha kazi ya jeshi akampiganie Allah.Hii ya Askari magereza sikuipata mkuu, unaweza fafanua mkuu.
Gaidi huwa na siri sana moyoni ambayo wewe dada ake huwezi mdhania. Hao waliomkamata bila shaka wanataarifa sahihi juu ya mtuhumiwa.Habari ndugu wana JF,