Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Sasa ndugu, wewe mwenyewe unatumia ID fake, halafu kwenye taarifa yako umeshindwa kutaja majina ya hao ndugu zako! Umeshindwa kutaja eneo waliko kamatiwa! Hujaweka siku na tarehe waliyokamatwa, nk!!

Halafu umejuaje kama wamekamatwa kwa kuhisiwa kujifunza ugaidi, na wakati hao wakamataji hawakusema kitu chochote?
hawa wanajifanya jihad wakibinywa kende wanapiga ukunga.

Akiiingia kiongozi muislam ndo huwa wanaleta huu ujinga wao.
 
Mihemko vipi bro kwamba taarifa nimetunga au... ishu iko serious yapata wiki ya pili sasa hatujuh mpendwa wet yuko hai au amekufa na hivi hawa jamaa wamepewa hadi kibali cha kuua pasi nakushtakiwa.... kikubwa kilichobaki ni mapenzi ya mungu pekee najua waliko wanateswa na kulazimishwa kusema mambo ambayo walikuw hata hawafanyi
kwanini unawasemea?wewe utakuwa gaidi mmoja wapo waliyekuacha mtaani.Soon utatiww nguvuni ueleze vizuri.
 
Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
ndo huwa wanajifichia kwenye kazi kama hizo.
kuuza maji hata yule askari magereza aliyeacha jeshi alikuwa akiuza maji kumbe usiku wanafanya vikao vya ugaidi.
Hizi ndo shugughuli zao
1.kuuza maji 2.Dawa za kisunna 3.Alkasusu 4Kujifanya watu wa Daw'a nk
kumbe humo ndipo wanapanga ugaidi.
 
Hii ya Askari magereza sikuipata mkuu, unaweza fafanua mkuu.
 
Daah its so sad ishu ikoje kile kipindi cha sakata la kibiti walikamatwa akiwepo na yeye ila wakarudishwa baada ya kuona hawakuw na hatia ila huyo imamu ambae alikuwa anawapa mawaidha yanayohusiana na jihadi nasikia aliuliwa huko huko na tangu kipindi hicho ratba yake masaa 24 tunaijua asubuh mpak saa 12 yupo kazin kwake alafu jion anarud nyumban analala na mkewe anathibitisha hajawahi kutoka usiku hata siku moja labda akahisi kuna shughuli nyingine anaifanya kwa siri
umeona sasa huyo ni gaidi si umeona nyendo zake.
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Duh

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa​

Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Taarifa kama hii unaongea ongea tu kama bosheni?

Mbona kama una masihara? Au umetumwa na Dipi Word.
 
Cha kujiuliza ni kwanini hayo yanaanza chadema inapoanza siasa zake majitaka?

Msikiri Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu. Msifikiri waliotaka kumzima Lussu walifanya makosa.

Chadema ni sikio la kufa.
piga kelele na bibi tozo anatesa ndugu zake katika imani.

Ugaidi huwa unashamiri Rais akiwa muislam huwa mnatingisha kibiriti na kuchekewa.
 
Jaman eeeh achen pre judgement huy aliokamatwa ni ndugu yangu wa damu tumezaliwa na mama mmoja ila baba tofauti na kuhusu suala la picha.. sina picha zake kwa sababu nina mda mrefu siko mkoani almost kama miaka saba na nimeanza kutumia smart baad y kufika mjin co kipindi chote hakukuwa n event ya kusem mim tungepga picha pamoj alaf kumbuk wat wa kijijin cio wot hupend kupiga picha ipa nipo kwenye mchakato wa kutumiwa,picha zake then nitazi upload
wewe unaonekana unawafinance hao magaidi.

Watakutaja tu na wewe utaenda kujumuika nao.

Hamuwezi kuhatarisha usalama wa nchi mkachekewa!
 
nin uhakika kama n usalama kwa sababu walikuwa na pingu sidhani kam kun taasis nyingine isio y kiserikal ingeweza kumfunga pingu na alaf ninahisi pengine anatuhumiw kwa ishu za ugaidi kwa sababu hiyo ndo sababu pekee ambay ilimfany akae mahabus kwa mar y kwanza yaani jamaa ni msafi na hana kashfa yoyote na ukitak kuamin hlo nenda hap ruangwa mjin kamuulizie abdul muuza maji ndo watakwambia
na magaidi wazuri lazima utafute kazi ya kufanya ili ufiche uhalisia.
 
Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
hajawahi vipi?wakati huyo late imam ndo alikuwa anawacoach mpaka mnamshauri kama familia aache?

picha na video za mafunzo ya ugaidi ya nin kwenye sinu yake?
 
Hii ya Askari magereza sikuipata mkuu, unaweza fafanua mkuu.
Askari Magereza aliaacha kazi ya jeshi akampiganie Allah.

Akawa anauza maji kwenye mzega mzega(toroli) kwahiyo watu wanamuona akiuza maji kama ndo shughuli yake inayomuingizia kipato kumbe ni undecover tu,Usiku wa maanan wanakutana katika mipango yao ya ugaidi na kuvamia ili kuishi.Huyo jamaa ndo alichonga mchongo wa kuvamia Staki Shari na kupora bunduki na kwenda kuleta movement kibiti.

Vipenyo wakagundua kuna watu wanatoka kwake saa 11 alfajiri,hilo gaidi likaja kuuliwa kwenye sekeseke la Kibiti.

Haya magaidi sio yakucheka nayo kabisa yaan.

Centre yao East Afrika ilikuwa Kenya kwa sheikh Logo anawahifadhi chakula,malazi,pesa nk...kisha kuwasafirisha kwa Al shabab,baadae shekh Makaburi lakini wote washatangulizwa mbele ya haki.

Hawa vijana wanaongopewa sana sana kuhusu pepo na mabikira,mafundisho hatarishi yote lazima yamulikwe kwa jicho la mwewe.
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Gaidi huwa na siri sana moyoni ambayo wewe dada ake huwezi mdhania. Hao waliomkamata bila shaka wanataarifa sahihi juu ya mtuhumiwa.

Siku zite ogopa Mungu na technolojia.

Kama ni gaidi wamtendee kadiri ya sheria za nchi.

Magaidi ni wanyama sio binadamu wale
 
Back
Top Bottom