Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Hii imetokea wapi,mji gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji.

Shughuli ipi kaka
 
Labda nyendo zake na marafiki zake walikuwa si watu salama.
 
Ndiyo maana nimekuambia uweke taarifa kamili na inayojitosheleza.
 
Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Mmmmh
Mkuu wangu hebu tulia kwanza kisha tafakari vizuri kwa kina.

  1. Je unaifahamu ratiba ya nduguyo 24hrs kwa 7days?
  2. Haujawahi kuwa na picha yake, je huyo ni ndugu wa damu au ndugu katika imani?
  3. Mmetoa taarifa polisi? Na wamejibu nini?
  4. Vijana sita waliokamatwa naye, nao shughuli zao ni zipi?
 
Yani@faizafoxy pamoja na kupambana kote kuulinda u salamaleko bado wanafanyiwa hivi huku ndiko kuupiga mwingi kwa mama?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…