Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hii dini kuna tatizo la ugaidi mbona wale wa tanga na kibiti walikepo hadi maimamu hakuna mkristo hata mmoja, wengine juzi tu shinyanga wamehukumiwa miaka 45Okay.
V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.
Uislam haufundishi ugaidi.
Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
Ni majina yanayozaa roho hasimkuu nilitaka kusema hili. haya majina sio mazuri kabisaa, shida,tabu,masumbuko, maimuna,makata, wasira,
Okay.
V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.
Uislam haufundishi ugaidi.
Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
vipi kuhusu ubaguzi?Uislam haufundishi ugaidi.
Ni mkoa gan au wilaya gan?Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Wengi wanaokamatwa maeneo hayo walikua na mahusiono wa magaidi yalioko msumbiji.Wanafuatiliwa tangu mbali.Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Hapana si Kila muislam ni gaidi Ila magaidi wengi ni wa islamMbona hapo ushamtuhumu kuwa ni gaidi?
Au kila Muislam ni gaidi?
Tumripoti ndugu katika imani?Okay.
V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.
Uislam haufundishi ugaidi.
Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
Atakua amekufaHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Hapana si Kila muislam ni gaidi Ila magaidi wengi ni wa islam
Ulitakiwa kupaza sauti kwa kakaako kwanza ili aache vitendo vya kigaidi.Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Hawezi kujibu hata moja hapa...Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?
1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?
2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?
3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?
4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?
Kwako Faiza
Unajiita Genius afu unashindwa kutoa maelezo toshelevu[emoji2368]Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Vitendo vinavyoitwa vya kigaidi ni sehemu ya mafundisho ya quran.Mbona hapo ushamtuhumu kuwa ni gaidi?
Au kila Muislam ni gaidi?
pole sana ila nikwambie tuu its not just coincidence kashikwa ndugu yako usishikwe wewe. tena mkuranga huko balaa tupuAnaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita