Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Abdul, Alshab, Alqaida, kama kuna kitu hivi auu????
 
KAMA AMEHUSISHWA NA UGAIDI BASI NI KWELI ANA MIPANGO HIYO... Kaeni na ndug zenu waache kujiunga na makundi ya kipumbav... Vyombo vya dola ktk hilo suala wapo serious
 
Mmh, karate na ugaidi wap na wap,osama alikuwa hajui hata kurusha yokho gel
 
Huyo atakuwa ni gaidi kweli, hata picha au kazi yake umeogopa kuziweka, gaidi alikuwa anafunga mlango na kufuli isjulikane kama yumo ndani
 
Nakuelewa sana mtoa mada, watu wanaweza kuchukulia mzaha ila haya mambo haya yasikie tu😩

Mungu asaidie aongee vya kueleweka huko alipo.
 
Azory yuko wapi?
 
mpuudhi umeuriza maswar magum kweri diii 😆😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…