Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Abdul, Alshab, Alqaida, kama kuna kitu hivi auu????
 
KAMA AMEHUSISHWA NA UGAIDI BASI NI KWELI ANA MIPANGO HIYO... Kaeni na ndug zenu waache kujiunga na makundi ya kipumbav... Vyombo vya dola ktk hilo suala wapo serious
 
Achaneni na hizo camp za karate na uhusiano na vikundi vya itikadi kali...... haiwezekani wakakamatwa bahati mbaya.......mwezi uliopita vijana wawili toka Tz walikamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-shabab .......kuna mawakala wanaondeleza mafunzo so acheni huo upuuzi ili muwe salama
Mmh, karate na ugaidi wap na wap,osama alikuwa hajui hata kurusha yokho gel
 
Huyo atakuwa ni gaidi kweli, hata picha au kazi yake umeogopa kuziweka, gaidi alikuwa anafunga mlango na kufuli isjulikane kama yumo ndani
 
Nakuelewa sana mtoa mada, watu wanaweza kuchukulia mzaha ila haya mambo haya yasikie tu😩

Mungu asaidie aongee vya kueleweka huko alipo.
 
Kama ni watu wa usalama atakuwa mzima, akae kwa kutulia atasikia tu yupo mahakaman anasomesha mashtaka na ataelekea magereza.

Ukiacha shika shika ya Mkumbo, hawa wanaoshikwa katika mazingira hayo unakuta wana facts za uhakika kuhusiana na mambo hayo.
Azory yuko wapi?
 
Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?

1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?

2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?

3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?

4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?

Kwako Faiza
mpuudhi umeuriza maswar magum kweri diii 😆😬
 
Back
Top Bottom