Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hawezi kujibu hata moja hapa...
Akijibu ataleta blah blah tu
Kuna mmoja nilidhani atanipa majibu lakini naona anatoa blah! Blah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kujibu hata moja hapa...
Akijibu ataleta blah blah tu
Mmh, karate na ugaidi wap na wap,osama alikuwa hajui hata kurusha yokho gelAchaneni na hizo camp za karate na uhusiano na vikundi vya itikadi kali...... haiwezekani wakakamatwa bahati mbaya.......mwezi uliopita vijana wawili toka Tz walikamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-shabab .......kuna mawakala wanaondeleza mafunzo so acheni huo upuuzi ili muwe salama
Ngoja nikuache uendelee kufanya utafiti hapo kijijini kwenu,huwezi kuelewa kwasasaMmh, karate na ugaidi wap na wap,osama alikuwa hajui hata kurusha yokho gel
Azory yuko wapi?Kama ni watu wa usalama atakuwa mzima, akae kwa kutulia atasikia tu yupo mahakaman anasomesha mashtaka na ataelekea magereza.
Ukiacha shika shika ya Mkumbo, hawa wanaoshikwa katika mazingira hayo unakuta wana facts za uhakika kuhusiana na mambo hayo.
We ni mvivu wa mazoezi,na nyie huwa mnachukia wapiga mazoezi , karate inaweza vip kulipua jengoNgoja nikuache uendelee kufanya utafiti hapo kijijini kwenu,huwezi kuelewa kwasasa
Azory yuko wapi?
Nani kasema Azory kachukuliwa na polisi?Kwani kasema ndugu yake ana harakati? Nani alikwambia Azory alichukuliwa na police?
Nani kasema Azory kachukuliwa na polisi?
Mimi nimeuliza ndioSi umeuliza yuko wapi?
Mimi nimeuliza ndio
Jina nalo linabeba maana ,pole sana KuonewaAnaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
mpuudhi umeuriza maswar magum kweri diii 😆😬Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?
1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?
2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?
3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?
4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?
Kwako Faiza