Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Huyo ndugu yenu hajakamatwa kimakosa na familia inajua kila kitu na sio mara ya kwanza kukamatwa ndo maana hukutaka kufunguka sana!

Elezea vizuri kwanini alikamatwa kwenye yale yaliyokua yanaendelea kibiti? Kwani wakati huo hakua anauza maji?
Cha kujiuliza ni kwanini hayo yanaanza chadema inapoanza siasa zake majitaka?

Msikiri Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu. Msifikiri waliotaka kumzima Lussu walifanya makosa.

Chadema ni sikio la kufa.
 
Cha kujiuliza ni kwanini hayo yanaanza chadema inapoanza siasa zake majitaka?

Msikiri Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu. Msifikiri waliotaka kumzima Lussu walifanya makosa.

Chadema ni sikio la kufa.
Eeee Mungu wangu! hii ni nn umeandika we fox? Nimejaribu kumjibu alieleta mada we unaleta siasa 🤔🤔 anyway watu wanasaka maarifa we unajikaririsha maandisha hayaeleweki, nyie wafundisheni karate then muwasafirishe lkn serikali ipo macho sana kuangalia yanayoendelea na haitaacha kutelekeza majukumu ya kiusalama kwa sababu ya dini inayohubir ugaidi
 
Poleni sana toa maelezo ya kutosha. Na aje wiki zote 2 mlisharipoti polisi kujua inakuwaje?
Ilitakiwa ndani ya saa 24 wawe wametoa taarifa polisi. Wiki mbili ni far beyond "reasonable time" to report such an incident.

Aweke majina, picha, mahali, muda na tarehe aliyokuwa apprehended.

Maafisa waadilifu wa Serikali tuko humu tutamsaidia. Serikali ya mama SSH haiwezi kuruhusu hujuma za namna hii.

Afanye haya ASAP.
 
Andiko lako limefanya nimtafakari mtoa uzi, huenda kuna jambo analofahamu au kushirikiana na muhusika na ndo linalomsumbua. Mtu kakamatwa na haikutajwa sababu, ye kajuaje kuwa kakamatwa kwa tuhuma za ugaidi!? Kanipa mashaka makubwa.
 
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua
Weee genius mvivu ni mvivu kweli kufikiria. Hali ya usalama nchini si shwari sababu gani?
Nduguyo ni mhalifu. Ngoja kina Adamoo, Ling'wenye waje watasema kama walimuona
 
Ila hii nchi ya ajabu unaenda kumvamia mtu unamchukua ndugu zake hawajui alipo.Akifia mikononi mwenu mtajibu nini?Ndio maana wengine kwenye hizo kazi wanakufaga vifo visivyoeleweka sababu zinakuwaga hizihizi
Umeandika kwa mihemko. Gaidi hapaswi kuchekewa wala kupewa haki yoyote. Kama kweli kashikiliwa na vyombo vya usalama basi tuviache vifanye kazi yake.
 
Andiko lako limefanya nimtafakari mtoa uzi, huenda kuna jambo analofahamu au kushirikiana na muhusika na ndo linalomsumbua. Mtu kakamatwa na haikutajwa sababu, ye kajuaje kuwa kakamatwa kwa tuhuma za ugaidi!? Kanipa mashaka makubwa.
Jaman eeeh achen pre judgement huy aliokamatwa ni ndugu yangu wa damu tumezaliwa na mama mmoja ila baba tofauti na kuhusu suala la picha.. sina picha zake kwa sababu nina mda mrefu siko mkoani almost kama miaka saba na nimeanza kutumia smart baad y kufika mjin co kipindi chote hakukuwa n event ya kusem mim tungepga picha pamoj alaf kumbuk wat wa kijijin cio wot hupend kupiga picha ipa nipo kwenye mchakato wa kutumiwa,picha zake then nitazi upload
 
Simu yake unafahamu alikua anawasiliana ba nani?alikamatwa kibiti akachiwa unadhani aliachwa bure bure??
 
Umejuaje kuwa kakamatwa kwa tuhuma za ugaidi na ikiwa wakamataji hawakusema chochote!? Una uhakika gani kuwa wakamataji ni usalama wa taifa!?
Tujibu hayo maswali
 
Na kingine m ckatai kam n gaid au sio gaid ila bc wapewe taarifa ndugu zake ijulikane yupo sehem fulani anahojiwa... akikutw n tuhum bc kam kufungwa au kunyongwa anyongwe lakin kulikon unamchukua pasi n kutoa taarifa kwa ndugu mama yake leo inaenda wiki anashinda kulia tu maan hajuh kam mwanae n mzima au amekufa
 
Umejuaje kuwa kakamatwa kwa tuhuma za ugaidi na ikiwa wakamataji hawakusema chochote!? Una uhakika gani kuwa wakamataji ni usalama wa taifa!?
Tujibu hayo maswali
Ckia bro katika hali ya kawaida jamaa hakuwah kukaa hata maabus isipokuw had kipindi kile cha sekeseke la kibiti na kwa kipind kile kwa maelez yake alikir kwamba kuna sheikh alikuwa anawapa mawaidha yanayohusiana na jihad na huy sheikh alishauliwa na mamlak tang kipind hcho co kam familia tulikaa nae n kumsem na ikiwezekan n bora aachan n itikad kali awe mwislam tu wa kawaida yaan neutral
 
Unajaribu kuutetea sana ila ni ngumu kutenganisha uislamu siasa kali na ugaidi.
 
Alituelewa na hatukuwah kumuon ana kumuhis kam anafuatilia majambo hay japokuw bdo alikuwa n sunni
 
Ungejitambulisha kwanza ili wajue wewe ni nani? Unaishi wapi? Hii itasaidia kukujua na kukuletea msaada.
We mwenyewe unaitwa pakijinja , JF Ni sehemu huru kutumia jina lolote,unataka ajitambulishe akamatwe na yeye?
 
Hujajibu nilicho kuuliza!
Umejuaje kuwa kakamatwa kwa tuhuma za ugaidi na ikiwa wakamataji hawakusema chochote!? Una uhakika gani kuwa wakamataji ni usalama wa taifa!?
Vipi kama kakamatwa na watu aliokuwa akishirikiana nao zamani kabla hamjamuweka chini na kumkemea?
Naomba unijibu maswali mawili ya kwanza
 
Hujajibu nilicho kuuliza!
Umejuaje kuwa kakamatwa kwa tuhuma za ugaidi na ikiwa wakamataji hawakusema chochote!? Una uhakika gani kuwa wakamataji ni usalama wa taifa!?
nin uhakika kama n usalama kwa sababu walikuwa na pingu sidhani kam kun taasis nyingine isio y kiserikal ingeweza kumfunga pingu na alaf ninahisi pengine anatuhumiw kwa ishu za ugaidi kwa sababu hiyo ndo sababu pekee ambay ilimfany akae mahabus kwa mar y kwanza yaani jamaa ni msafi na hana kashfa yoyote na ukitak kuamin hlo nenda hap ruangwa mjin kamuulizie abdul muuza maji ndo watakwambia
 
Huyo ndugu yenu hajakamatwa kimakosa na familia inajua kila kitu na sio mara ya kwanza kukamatwa ndo maana hukutaka kufunguka sana!

Elezea vizuri kwanini alikamatwa kwenye yale yaliyokua yanaendelea kibiti? Kwani wakati huo hakua anauza maji?ndo

Huyo ndugu yenu hajakamatwa kimakosa na familia inajua kila kitu na sio mara ya kwanza kukamatwa ndo maana hukutaka kufunguka sana!

Elezea vizuri kwanini alikamatwa kwenye yale yaliyokua yanaendelea kibiti? Kwani wakati huo hakua anauza maji?
Daah najitaid niwe humble ila kun wat munapanikisha
 
We mwenyewe unaitwa pakijinja , JF Ni sehemu huru kutumia jina lolote,unataka ajitambulishe akamatwe na yeye?
Aisee m ciogop kujitambulisha coz cna hatia n nko tayar hata kumtetea bro wangu coz najua han uwezo wa kujieleza hata kama hana hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…