FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Cha kujiuliza ni kwanini hayo yanaanza chadema inapoanza siasa zake majitaka?Huyo ndugu yenu hajakamatwa kimakosa na familia inajua kila kitu na sio mara ya kwanza kukamatwa ndo maana hukutaka kufunguka sana!
Elezea vizuri kwanini alikamatwa kwenye yale yaliyokua yanaendelea kibiti? Kwani wakati huo hakua anauza maji?
Msikiri Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu. Msifikiri waliotaka kumzima Lussu walifanya makosa.
Chadema ni sikio la kufa.